Phillemon Mikael wa JF ndio chanzo................na huo ndio ukweli wenyewe............
Kuna wakati mishahara ilichelewa idara fulani kwakuwa Mkulu.........anasafiri..........damn
Radio mbao ndiyo zinaweza kuleta habari ambazo hazina chanzo kamili. Siwezi kukubaliana na hili jambo hata kidogo.
Serikali yetu ina pesa za kutosha kabisa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara katika muda unaotakiwa. Na kama ingekuwa hakuna pesa hizo basi mkulu angetueleza katika hotuba yake ya leo.
Katika kinachooonekana kuwa serikali ipo hoi kifedha kwa mara ya kwanza tangu tatizo la kuchelewesha mishahara kuwa historia nchi hii ..watumishi wa uma wameanza kupigwa kalenda kupewa mishahara katika tukio la karibuni hata polisi walilimwa barua za uvumilivu ....zikiwataka wawe wavumilivu kwa mishahara kuchelewa ...
Hali hiyo imeendelea kuwa tete hata sasa ambapo mishahara ya watumishi wa umma nayo imeanza kuchelewa....nadhani kwa kuwa humu watumishi tupo....tunaweza kuchangia vema hoja hii...
Idiota!
Kakueleza mangapi kwenye hiyo hotuba!
AMekueleza wanavyosema uchumi umekuwa wakati bei za vitu na huduma vinakuwa juu?Ajira milioni ngapi kaweka?
kwa hiyo watu wakisema bei za vitu juu ,ajira kwa wengi hakuna utasema hapana rais angesema kwenye hotuba yake?
Mnataka source kama yeye source kacheleweshewa mshahara je!!!?
Ila tutajua tu ,mwezake Ben alimwachia pesa kibao hazina ,sasa yeye sijuhi kakusanya kiasi gani na senti ngapi zimebaki hazina.
Radio mbao ndiyo zinaweza kuleta habari ambazo hazina chanzo kamili. Siwezi kukubaliana na hili jambo hata kidogo.
Serikali yetu ina pesa za kutosha kabisa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara katika muda unaotakiwa. Na kama ingekuwa hakuna pesa hizo basi mkulu angetueleza katika hotuba yake ya leo.
Si kweli. Sina uhakika wewe ni mtumishi wa serikali kwa miaka mingapi iliyopita. Hapa issue ni budget ya serikali. Kila mwaka, mshahara wa mwezi wa saba (July) huwa unachelewa sana. Mimi sijawahi ona hata siku moja mashahara ukiwa ready by 30th July kwa wafanyakazi wa serikali kuu. Na hii ni kwamba; this is a new financial year na kwa hiyo system ina-elekeza nguvu ku-update issues zote ziwe na mwaka huu.
Kwa hiyo mambo ya kusema hata POLICE wamelimwa barua ya uvumilivu au kusema kuwa serikali imechacha kiasi kibaya ni UVUMI na UWONGO wa hali ya juu sana. Unaweza pia usiwe uvimu, bali ni umbumbu wa hali ya juu sana. Ni vema hapa JF tuwe tunauliza kwanza kama kuna issue tata ili uweze kufafanuliwa kwanza kabla ya kuanza kuwatia upupu wenzako ambao wenyewe wapo hapa JF kubeba chochote bila anylsisi ya ndani na kuanza kujadili. Ona sasa jamaa kibao wamchemka kama kawaida yao. 5th August mishahara itakuwa ready
Wanafunzi wa UDOM hamna kitu pale. Hawa si ndio walikuwa NEC wakiimba eti wapinzani ni mavuvuzela, tena mbele ya Lipumba? Kama wamenyimwa hela waache tu wafe, ndo watajua CCM ni kitu gani.100. Wale wanafunzi wa UDOM, walioko mazoezini mkoani MWANZA.
. Ni vema hapa JF tuwe tunauliza kwanza kama kuna issue tata ili uweze kufafanuliwa kwanza kabla ya kuanza kuwatia upupu wenzako ambao wenyewe wapo hapa JF kubeba chochote bila anylsisi ya ndani na kuanza kujadili. Ona sasa jamaa kibao wamchemka kama kawaida yao. 5th August mishahara itakuwa ready
.......what a waste ...nani kakuambia kuwa JF ni gazeti la uhuru...unataka kabla ya kufichua jambo tukuulizeni nyie wala bure.....with broad perspective inaonekana umetumwa na wahusika wenzako kutoa ufafanuzi.......sasa mnajuwa kuwa hatukurupuki kuleta habari ..tupo makini!!!
Ni ummbumbu pia kusema mshahara haijachelewa ......na hapo hapo ukisema tarehe 5 watu watakuwa wamepata mishahara.....!!!......hata kama kweli tarehe 5 watumishi watakuwa wamepata mishahara ..si uchelewaji huooooo???.....kama tangu tarehe 30 wangetakiwa wawe wameipata kama wenzao wa mashirika ya kibiashara na taasisi binafsi?????
Pia iwapo weewe ni mstaarabu ...basi utawaomba radhi members na visitors wa JF kwa kuwatukana kuwa wao ni mambumbumbu mfano wa dodoki ambao hubeba tu kila kitu .....nadhani unatambua kuwa watu na especially wanaopita humu wapo makini.....ndio maana kashfa zote muhimu huanzia hapa kama tetesi ....mnavyoooitaga nyie mavuvuzela!!!

Sure kuna watu huwa wanajiona wanajua saaaana. Mbona thread yenyewe iko wazi kabisa. Kama anajua sababu ya kuchelewa si angechangia tu kama mwanzisha thread alivyoomba? Hawa ndiyo mavuvuzela wanaoiweka nchi pabaya.
Huo ulitakiwa uwe mchango wako sasa zile kashfa za nini? hapo ndiyo mnapishana na Phil.
Selelii hana ubavu huo kabisa. namuweka Philip Mangula hapa.
CCM mwaka huu kazi wanayo,ningeelewa kama mshahara wa mwezi wa sita ungechelwa kwa kuwa ni transition ya fiscal year ya 2009/10 kwenda 2010/11 sasa mshahara wa July how come uchelewe?
Nina vijana wangu apa hazina ndogo ngoja niwaulize ntakuja na jibu