June 2, 2017 Mariam Mallya
Spika wa Bunge la tatu la jumuiya ya Africa mashariki Daniel Kidiga ameiomba serikali ya Kenya kufanikisha kupatikana Kwa wabunge wa jumuiya hiyo kutoka Kenya kabla ya vikao kuanza.
Spika wa Bunge la tatu la jumuiya ya afrika ya Mashariki (EAC) Daniel Kidega.
Spika huyo anaemaliza muda wake katika bunge hilo la nchi zinazounda umoja wa jumuiya ya Africa mashariki (EAC) akatumia fursa hiyo kupongeza vyombo vya habari vya nchi jumuiya Kwa kazi nzuri katika kuelimisha Jamii kuhusu kazi zinazofanywa na bunge hilo.
Akizungumzia Baadhi ya mafanikio na changamoto kuhusu bunge hilo la jumuiya Mh. Twaha Issa Taslima alisema kuwa anaamini bado kuna uhitaji wa kutoa elimu Kwa Jamii Kwa nchi jumuiya ili kuwajengea uelewa chanya kuhusu majukumu ya bunge la jumuiya na umuhimu wake ambapo pia amebainisha kuwa michango inayotolewa na nchi nyengine Kwa ajili utendaji kazi ifikishwe Kwa wakati ili kuweza kukamilisha majukumu Kwa muda husika.
Dar mpya imezungumza na Mh- Martin Ngoga ambae ni Mbunge wa jumuiya hiyo kutoka Rwanda kutaka kufahamu nafasi ya lugha ya kiswahili Kwa nchi za jumuiya ya afrika mashariki EAC.