SERIKALI YA JPM KUWARUDISHA WALIMU WALIOKIMBIA SERIKALI NA KWENDA PRIVATE

kichwabox

Senior Member
Feb 14, 2016
152
40
Kuna uvumi kuwa serikalai makini ya JPM inampango wa kuwapa nafasi walimu wote walioacha kufundisha serikalini na kwenda shule binafsi warudi kupiga jeki shule za serikali je kuna ukweli wowote wadau,nawakaribisha jamvini
 
Halafu wanawalipa 0.63Million wakati huko wanakula 2.5Million Government can't afford it.
 
Back
Top Bottom