Serikali ya jordan yaanguka.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Jordan Government resigned amid of protest. Source: ALJAZEERA LIVE. Peoples power.
 
Mdau mbona miye pia naangalia Aljazeera english live ila sijapata hii taarifa? Now wameconcentrate kuonyesha Tahrir square, Egypt tu!
 
am shocked,
Where z king Abdullah of Jordan?
Hebu ngoja niperuzi aljazeera
 
Ngoja ushuke east afrika uone mziki wake
Wanachi wametingwa na mengi kuanzia ugumu wa maisha mpaka kwenye ufisadi
 
Ngoja ushuke east afrika uone mziki wake
Wanachi wametingwa na mengi kuanzia ugumu wa maisha mpaka kwenye ufisadi

Waafrika weusi tuko waoga. Hakuna wa kuleta fyoko! Tunaogopa mabomu na bunduki. Waache waaarabu wajikomboe kutoka makucha kandamizi. Sisi tulie tu.
 
Si kweli! Taarifa yako si sahihi

Mdau naona kaamua kutupotosha, nimemjibu kwenye post #3 kuwa si kweli maana miye naangalia Aljazeera kwa muda sasa na sijaona wakitangaza hicho kitu. Wanaonyeza mkusanyiko wa watu Misri kwa siku ya saba leo wapo Live, karibu siku nzima hawaonyeshi habari nyingine! Ngoja tungojee kama habari hiyo itatokea, ila kwa source aliyotutajia si kweli kabisa
 
Hiyo yaweza kuwa fake news .whatever USA allies must go kazi ya iran hiyo .
 
Jordan's king fires Cabinet amid protests - Yahoo! News

The country's powerful Muslim opposition, which had demanded the dismissal of Prime Minister Samir Rifai in several nationwide protests inspired by those in Tunisia and Egypt, said the changes didn't go far enough.

Abdullah also demanded an "immediate revision of laws governing politics and public freedoms," including legislation governing political parties, public meetings and elections.
Jordan's most powerful opposition group, the Muslim Brotherhood, dismissed the changes as cosmetic.
"We reject the new prime minister and we will continue our protests until our demands are met," said Hamza Mansour, leader of the Islamic Action Front, the Brotherhood's political arm.
Mansour repeated his call for constitutional amendments to curb the king's power in naming prime ministers, arguing that the post should go to the elected leader of the parliamentary majority.
Jordan's constitution gives the king the exclusive powers to appoint prime ministers, dismiss parliament and rule by decree.
"Unlike Egypt, we don't want a regime change in Jordan and we recognize the Hashemites' rule in Jordan," he said, referring to Jordan's ruling family. "But we want to see real political reforms introduced."

Ukipitia hapa utaona jinsi wakuu wa Jordan waliposhikwa pabaya.
http://www.bbc.co.uk/news/business-12216495
 
hizo news umepewa na Tambwe Hizza nini..
King Abdullah of Jordan amevunja baraza la mawaziri amemteua waziri mkuu mpya MAROUF BAKHIT na amemwambia waziri mkuu mpya kushughulikia haraka kuunda baraza jipya la mawaziri kuepusha machafuko kama ya Misri na Tunisia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom