Serikali ya JK imeiva kama embe dodo; iko hatarini kudondoka anytime soon! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya JK imeiva kama embe dodo; iko hatarini kudondoka anytime soon!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchekechoni, Feb 20, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nikiwa kama mwananchi mzalendo mwanamapinduzi na mpenda demokrasia, nachelea kusema bila chuki binafsi dhidi ya JK, kwamba wakati wowote kuanzia sasa serikali ya ccm itaondolewa madarakani. Anayethubutu kupinga hoja hii, basi ajitokeze hadharani hapa jf, vinginevyo tukae kimya tusubiri mambo yanavyoendelea kujiseti kuelekea anguko kuu la JK na serikali yake!
   
 2. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,925
  Trophy Points: 280
  Isije ikawa kama ile stori ya "Fisi na mkono wa binadamu" Wabongo sometimes tuache "Ndoto za alinacha" jamani.Ndio wewe ni mzalendo,lakini umekurupukia wapi na hoja bila hata kuwa na data za kui back up?Eti "Anaye thubutu kupinga hoja hii basi ajitokeze hadharani hapa jf" Haya nimejitokeza naipinga...

  Umsema unaongea "Bila chuki binafsi na JK" ya kwamba serikali yake ya ccm itaondolewa madarakani wakati wowote kuanzia sasa,mimi nakupinga hadharani kuwa huo ni uongo wa mchana kweupe kwasababu tu unajuwa ni story ambayo wengi watafurahia basi ubandika tu.
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  toa detail ndg kama umeona viashiria, au ndio mabomu mbona tulivuka mambo ya mbagala kwa tume feki itaundwa ingine na JK atapeta tu. Na sasa mtakoma spika pia tumempata anayewaweza wapinzani wetu subiria hakuna anguko
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwa namna nilivyo na chuki na utawala wa CCM, bora serikali hii ianguke tu. haina jipya. imefulia. ina mikosi. ina laana. rais kakonda kama hali chakula.

  ya nini sasa.

  ikafilie mbali huko.
   
 5. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi si mnajimu wa nyota wala mtabiri, ila kwa hali jinsi ilivyo utake uctake JK hatachukua raundi utasikia ooh alikuwa kipenzi chetu, mara ooh kwa nini katuacha na wananchi bado tunampenda, (lakini yote hayo yatakuwa ni maneno ya kumpamba kwa unafiki tu, toka kwa marafiki zake uchwara) na mimi nitarudi hapa jf kukazia thread hii kwa kusema si niliwaambia mkabisha! Tym wil tel, sooner than later.
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  Mkuu wakati mwingine embe lililoiva mtini huwa linatikiswa hili lidondoke! unaotaka waibadili CCM ndio waitikise kidogo tu! ni kutikisa!
   
 7. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dodo ni dodo tu na likiiva kama ilivyo serikali ya jk linaitwa mdondo, maanake linaiva na kudondoka lenyewe! Countdown....9.8.7.6...ikifika zero JK hayupo ikulu!
   
 8. Tumaini edson

  Tumaini edson Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa stail ipi sasa mkuu, kwani tusiwe ka' matoyoyo tunaoishia kusema (kulopoka) bila mafanikio, Tuwekeni wazi tupeni MBINU nini tufanye, kuongea tu hakusaidii kitu.
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hata kama una tetesi kapata cancer ya **** kutokana na mabomu tuambie tuchanganye na kifafa tuite hitimisho. Otherwise ni porojo zako tuu tujaze server zetu bure
   
 10. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbinu za kuangusha embe dodo lililoiva ni simpo kama kumsukuma mlevi, from in-house bila kujenga hisia ya treason case tayari kuna momonyoka na kama mchwa wanaokula nguzo ya umeme ndani kwa ndani jamaa wakija kustuka tayari nguzo imeoza inaanguka yenyewe!
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Msiba!!
   
 12. P

  Pokola JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nimekugonga senks mwanakwetu!! Japo naichukia kama kidonda serikali hii ya Mfalme ****, nachukia zaidi kauli zinazotawaliwa na hisia, na zillizokosa mkakati unaotekelezeka. Mtu akija hapa JF atoe modality, tupate pa kuanzia. Wake up, you docile Tanzanians, wake up NOW!!
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ipo hatarini kuondoka ??? Nilizani itaondoka ,kilichopo hatarini kinaweza kabisa kuepukika na kuiepuka hiyo hatari. Mi nakwambia mtahesabu miaka ,hivi munaerewa imebakiza miaka mingapi ? Na hata kama itaondolewa basi watakuwa wanapishana tu ,hamna jipya !
   
Loading...