Serikali ya JK imechukua kodi kwenye mabank na mashirika makubwa mpaka december 2011

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Habari wandugu.
Nina ndugu yangu anafanya vitengo muhimu vya serikali kama mwanauchumi, kuna taarifa kuwa hadi sasa serikali imechukua kodi mpaka ya decemba 2011 yaani serikalu imepigika haswa
na mbaya zaidi kumbe mashirika haya haylipi exactly kodi ila wanakadiliwa tu kodi yao mfano labda nbc wanaambiwa walipe bil10, wakati mwananchi wa kawaida anadaiwa mpaka senti ya mwisho. Da serikali hii bwana imefulia kwa mbwembwe kama ilivyoingia kwa mbwembwe. najua wanajf wapo wanaofanya vtengo tofauti tupeni news
 
Habari wandugu.<br />
Nina ndugu yangu anafanya vitengo muhimu vya serikali kama mwanauchumi, kuna taarifa kuwa hadi sasa serikali imechukua kodi mpaka ya decemba 2011 yaani serikalu imepigika haswa <br />
na mbaya zaidi kumbe mashirika haya haylipi exactly kodi ila wanakadiliwa tu kodi yao mfano labda nbc wanaambiwa walipe bil10, wakati mwananchi wa kawaida anadaiwa mpaka senti ya mwisho. Da serikali hii bwana imefulia kwa mbwembwe kama ilivyoingia kwa mbwembwe. najua wanajf wapo wanaofanya vtengo tofauti tupeni news
hizi tetesi ni kudhalilisha professional za watu. Kwakuwa wewe ni MD inawezekana ni kutojua lakini jitahidi kufikiria zaidi. Tafuta financial report usome kidogo halafu pia jiulize application ya hicho unachokisema kinawezekana vipi. What if business iki collapse? Kuna haja ya kufikiria kwenye kutunga tetesi.
 
Naweza sadiki ndugu, kwani si kificho ni dhahiri kwamba serikali yetu imefulia. Tulioko serikalini tunajua.
 
hizi tetesi ni kudhalilisha professional za watu. Kwakuwa wewe ni MD inawezekana ni kutojua lakini jitahidi kufikiria zaidi. Tafuta financial report usome kidogo halafu pia jiulize application ya hicho unachokisema kinawezekana vipi. What if business iki collapse? Kuna haja ya kufikiria kwenye kutunga tetesi.

unashangaa kwani uko ughaibuni? Kama haya majitu yanakwiba kura mchana kweupe ni kipi kinashindikana kwao kukusanya hizo kodi? Ni nani atawakatalia? Haujawahi kusikia kuhusu mibaka uchumi? Ndo serikali yenu.
 
hizi tetesi ni kudhalilisha professional za watu. Kwakuwa wewe ni MD inawezekana ni kutojua lakini jitahidi kufikiria zaidi. Tafuta financial report usome kidogo halafu pia jiulize application ya hicho unachokisema kinawezekana vipi. What if business iki collapse? Kuna haja ya kufikiria kwenye kutunga tetesi.

wewe ndiye unachemka kuna bank gani inaweza kufa hapa BONGO katika miezi sita inayokuga? isitoshe kama wemepewa DILI ya kulipa kodi ua makadilio ina maana wao ndio wanaamuha watoe kiasi gani kwa kuigilibu hii serikali ya vipofu, mkuu umesimama wrong angle katika kulitazama ili suhala mimi ni mchumi ni hiyo ni big favour kwa BANKS na small help to GOV maana wakonashida na hela mbona ili liko wazi sana mkuu kwamba nchi imefulia na kikwete na mafisadi hawataki kuacha kuendesha nchi kisharobaro
 
Funika kombe mwanaharamu apite ndiyo serikali ya KIKWETE hiyo haina mbele wala nyuma,i ya mwendawazimu
 
habari wandugu.
Nina ndugu yangu anafanya vitengo muhimu vya serikali kama mwanauchumi, kuna taarifa kuwa hadi sasa serikali imechukua kodi mpaka ya decemba 2011 yaani serikalu imepigika haswa
na mbaya zaidi kumbe mashirika haya haylipi exactly kodi ila wanakadiliwa tu kodi yao mfano labda nbc wanaambiwa walipe bil10, wakati mwananchi wa kawaida anadaiwa mpaka senti ya mwisho. Da serikali hii bwana imefulia kwa mbwembwe kama ilivyoingia kwa mbwembwe. Najua wanajf wapo wanaofanya vtengo tofauti tupeni news

so what??
 
hizi tetesi ni kudhalilisha professional za watu. Kwakuwa wewe ni MD inawezekana ni kutojua lakini jitahidi kufikiria zaidi. Tafuta financial report usome kidogo halafu pia jiulize application ya hicho unachokisema kinawezekana vipi. What if business iki collapse? Kuna haja ya kufikiria kwenye kutunga tetesi.

mkuu tangu lini nchi hii vitu vimeanza kuendeshwa ki professional km unavyodai ?? professional zimekuwa zikidharirishwa kila siku na hiyo bahati mbaya ndiyo inayokubalika kuanzia kwa Rais mwenyewe kwa kuchagua watu kwenye nyadhifa kwa kuzingatia urafiki na kujuana tunafikia mahala pa mtu na mdogo wake kuwa mkuu wa intelejensi na jaji mkuu. kuhusu swala la kodi nakubaliana kuwa hilo linawezekana
kiurahisi kuliko unavyoweza kufikiria kwani wanachoweza kukifanya ni kuwapa discount ya 30% ya kiwango cha kodi unachotakiwa kulipa km
utalipa hivi au usubiri mpaka mwisho wa mwaka ulipe full amount , hakuna mtu yeyote anaweza kukataa dili hilo. hii inazidi kuthibitisha maneno ya ZITTO KABWE KUWA SERIKALI YETU IMEFILISIKA.
 
ni kweli ndugu, kwani hata jk siku hizi hasafiri tena si unamuona tu kwenye tv aki mwga chakula ya kuku!
 
Kwa hali ilvyo mbaya kwasasa inawezekana hil likafanyika, ukifahamu kiasi cha fedha kinachopelekwa kwenye halmashauri zetu kwa ajili ya matumizi utasikitika.

kuhusu TRA kukadiria kodi kwa bidhaa zinazoingia nchini kama magari ni ukweli na ni ukandamizaji, Halima Mdee ameuliza bungeni kuhusu swala hilo lakini likapigwa danadana katika kile kinachoonekana kama kuilinda serikali
 
wewe ndiye unachemka kuna bank gani inaweza kufa hapa BONGO katika miezi sita inayokuga? isitoshe kama wemepewa DILI ya kulipa kodi ua makadilio ina maana wao ndio wanaamuha watoe kiasi gani kwa kuigilibu hii serikali ya vipofu, mkuu umesimama wrong angle katika kulitazama ili suhala mimi ni mchumi ni hiyo ni big favour kwa BANKS na small help to GOV maana wakonashida na hela mbona ili liko wazi sana mkuu kwamba nchi imefulia na kikwete na mafisadi hawataki kuacha kuendesha nchi kisharobaro
Usijiite mchumi kwa kuandika hii kitu. Yaani benki ilipe kodi inadvance halafu unatogeza hapa na kujiita mchumi. Haya ni majungu tu. Mojawapo ya kazi za benki ni kukopesha. Kwahiyo kwanini wakubali kutoa pesa zao bure na si kwamba waikopeshe serikali. Hapa ndio ninaposema issue za professionals si za kuchezea. Kama serikali hawana uwezo, benki wanawakopesha na si wanawapa kodi inadvance. Hoja ya kufa kwa Benki naona wewe unafanya mchezo. It is a matter of day kwa bank kucollapse. Hujui kuwa Tanzania hii kuna benki ilishindwa kufanywa kazi? Halafu hizo benki majority zina foreign ownership, ujinga wa kulipa kodi ni advance hauwezekani. Halafu kwanini isemekane serikali imechukua kodi mpaka december za si kipindi kingine? Nini kinafanya iwe December.
Labda nikumalizie tu. Hivi wewe kama unabiashara yako halafu mtu akwambie ulipe kodi in advance utakubali mchumi wewe?
 
mkuu tangu lini nchi hii vitu vimeanza kuendeshwa ki professional km unavyodai ?? professional zimekuwa zikidharirishwa kila siku na hiyo bahati mbaya ndiyo inayokubalika kuanzia kwa Rais mwenyewe kwa kuchagua watu kwenye nyadhifa kwa kuzingatia urafiki na kujuana tunafikia mahala pa mtu na mdogo wake kuwa mkuu wa intelejensi na jaji mkuu. kuhusu swala la kodi nakubaliana kuwa hilo linawezekana
kiurahisi kuliko unavyoweza kufikiria kwani wanachoweza kukifanya ni kuwapa discount ya 30% ya kiwango cha kodi unachotakiwa kulipa km
utalipa hivi au usubiri mpaka mwisho wa mwaka ulipe full amount , hakuna mtu yeyote anaweza kukataa dili hilo. hii inazidi kuthibitisha maneno ya ZITTO KABWE KUWA SERIKALI YETU IMEFILISIKA.
Haya ndio tunaita maneno ya kijiweni. Discount ya 30%?? Labda kama unakumbukumbu njema. Unajua dhamana ya serikali ni kiasi gani? Kwanini wenye mabenki walilalamika serikali ilipotaka kutoa pesa huko? Hivi njia ya kupata pesa ni kujua kodi in advance, haiwezekani kuissue bonds or treasury bills? Mbona zinagombaniwa saana.
 
Back
Top Bottom