Serikali ya Iran yakana kuwashambulia waandamanaji

engine search

Senior Member
Jan 4, 2020
174
88
Kwa hali hii inayoendele irani ni hatari kwa serikali,Wigi kashasema pawe na mazungumzo ya Amani bila hata kuwawekea magogo ila ukiangalia kwa undani hapa uonaona kabisa mgogoro unaendeshwa kiitelejensia...

Serikali mpaka sasa inatapatapa Wananchi wao waliowategemea kuwaunga mkono nao ndo kwanza wanatimua vumbi mchana uku wakigaragara Mabarabarani wakisisitiza kilemba Asepee tena mchana kweupee kama kiremba ataruhusu Tahasisi na wanaharakati wa Haki za binadamu kufanya yao pale irani basi mchezo utakua umekwisha..

Nawaona C.I.A wanavyogonga tano Ni kama Historia ya 1953 ya mapinduzi ya waziri mkuu mossadegh inarejea upyaaa...Namalizia uporo wa wali maharage niendelee kufuatilia hii Series..

====

Polisi nchini Iran katika mji mkuu Tehran, wamekanusha kutumia silaha dhidi ya waandamanaji walioghadhabishwa na kudunguliwa kwa ndege ya Ukraine.

Maafisa wa polisi walikuwa wamepata maagizo ya kuonyesha kwamba wao imara, mkuu wa polisi amesema.

Video zilizowekwa kwenye mitandao ya kijamii Jumapili, zilirekodi kile kilichoonekana kama maafisa wakifyatua risasi pamoja na mwanamke aliyejeruhiwa akibebwa.

Maandamano yalianza Jumatatu baada ya Iran kukubali kwamba ilirusha kombora kimakosa dhidi ya ndege ya abiria ya Ukraine na kuanguka karibu na Tehran.

Watu wote 179 waliokuwa kwenye ndege hiyo PS752, wengi wao wakiwa raia wa Iran na Canada walikufa.

Hakuna abiria hata mmoja aliyeripotiwa kupona
Siku tatu za kwanza baada ya kutokea kwa ajali, Iran ilikanusha kwamba vikosi vyake vimedungua ndege hiyo na kusema kwamba ilipata matatizo ya kiufundi.

Hata hivyo, ilikubali kudungua ndege hiyo baada ya video kuonyesha kombora likipiga ndege hiyo, na kusababisha hasira kote nchini Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe acha acha acha kaa kimya tu hauna unalojua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm naona iran achapwe tu ili mitandao ya kijamii itulie, na pengine tutamfahamu nani ni bingwa
 
Back
Top Bottom