sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Ujio wa Waziri Mkuu wa India nchini, umeleta neema ya wanauchumi kusaini mikataba ya uwekezaji nchini hasa kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda vya dawa za binadamu na pia serikali hiyo imeahidi kuikopesha Tanzania jumla ya dola za kimarekani milioni 592 kwa ajili ya miradi mbalimbali.