Serikali ya futa kesi ya wachina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya futa kesi ya wachina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tz1, Jun 25, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkurugenzi wa mashtaka awewafutia kesi wachina 13 walikuwa wanakabiliwa na tuhuma zakuwashambulia kwa kuwapiga,maofisa wa polisi
  wa wilaya ya babati.
  Umauzi huwo ilifikiwa juzi katika mahakama ya wilaya babati.Hakimu wa mahakama hiyo,Victor Bigambo alisema mwendesha mashitaka mkuu wa kanda ya kaskazini ,ameamua kuifuta kesi hiyo kwa sababu haina Manufaa kwa taifa
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,329
  Trophy Points: 280
  pumbavu zetu. Tutakula mikong'oto mwaka huu hadi tukome
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,854
  Likes Received: 83,338
  Trophy Points: 280
  Manufaa yepi hayo ya Taifa?

  https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/148097-wachina-wampiga-mkuu-wa-kituo-cha-polisi.html
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  shame on them yani wanawapa jeuri wageni kiasi icho bora kujichukulia sheria mkononi mana mchina akikupiga ata kukuua akipelekwa mahakamani inakuwa ainafaida kwa taifa
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo ile ya Mahimbo ilikuwa na manufaa kwa taifa????? Hivi huko bongo kuna ninin kweli siku hizi?
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mgeni ni bora zaidi ya mwenyeji
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Kama vile taifa la wajinga!!!
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  wao waseme wameshamalizana kiutu uzima
   
 9. M

  Mary Glory Senior Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama ambavyo me nataka kuchukua sheria mkononi.ni vile tu ya afghanistan hayapo huku kwetu.maana usingekuwepo.lkn hata hivo nimeshaenda kuulizia kabastola kadogo kanauzwaje pale kwenye duka la silaha the day nikkiipata you are finished.
   
 10. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  It's very expensive to be poor!
   
 11. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mda wa kutengeneza mishale ya sumu umefka, unaua kwa kwambali wala hamna dhambi.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hao wamepiga wameachiwa!waliondamana,wanachadema kesi mpaka leo au hiyo ina manufaa kwa nchi au ccm?
   
 13. queen matara

  queen matara Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Kweli nashindwa kuamini! Pamoja na makonde yote aliyoshindiliwa mkuu wa kituo, bado haina maslahi kwa taifa? Hebu wewe raia jaribu kumtia kashkash tu mkuu wa kituo hata usimpige halafu uone cha moto. Leo hii raia wa nchi yo yote ya nje{ bora isiwe nchi ya Kiafrika } anaweza kumnyanyasa Mtanzania kwa jinsi apendavyo bila kuchukuliwa hatua yo yote. Tazama jinsi raia wa Kigeni hasa wale weupe wenye nywele za singa, wanavyofanya matanuzi nchini kwetu bila wasiwasi wo wote. Saa nyingine najiuliza iwapo kama nina haki zo zote za msingi kwa kuwa raia wa nchi hii zaidi ya ile ya kupiga kura, tena kwa kuchagua na sio kuchaguliwa. Sijapata kuona ama hata kuwasikia viongozi wasiowapenda raia wao wanaowaongoza kama viongozi wa Tanzania.
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Ndo polisi waache ujinga
   
Loading...