MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Tunaambiwa kua Rais mteule wa uchaguzi wa marudio Zanzibar anaenda kuongoza serikali akiwa na watendaji wachama kimoja tu! Ikumbukwe ni muda mrefu sasa taifa hilo limekua na uwakilishi wa Wananchi kutoka vyama vikuu viwili tu, yaani CCM na CUF! Vyama vingine vya siasa visiwani humo hua vinasindikiza tu, havina uwakilishi wowote katika vikao vya maamuzi kuhusu maendeleo ya taifa hilo.
Hivi inawezekanaje kua na serikali ya Chama kimoja hasa kwa muda ambao nchi iko katika mfumo wa vyama vingi? Tumezoea maamuzi siku zote hufanywa na michango kutoka uwakilishi wa pande zote, Je, CCM kufanya maamuzi peke yao kuhusu taifa lenye nusu ya watu ambao ni Upinzani inawezekana? Je utekelezaji wake utawezekana? Tangu vyama vingi vianzishwe visiwani humo kumekua na uwakilishi unakaribiana pande zote mbili lakini leo uwakilishi utakua ni wa upande mmoja kama vikao vya kamati kuu ya Chama inawezekana?
Binafsi naona tunajifariji tu bila kutazama mbele! Tunaangalia nini tunacho mkononi lakini hatujiulizi hicho tuenda kunifanyia nini! Bila maridhiano au mazungumzo mapya ya CUF na CCM sioni mwendo mzuri ya serikali inayokuja ya Dr Shein chini ya Chama kimoja! Dr Shein anaweza kuface ugumu ambao hajawahi kuupitia Rais yeyote katika taifa lile tangu lipate uhuru wake.Dr Shein atambue mfumo wa vyama vingi katika taifa lile unatambuliwa na umoja wa mataifa, Kwa hiyo CUF kuendelea kufanya siasa hata kama sio watawala au sio serikali bado wanao uwezo wa kua na nguvu kuliko hata chama tawala.