Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
IGWE wanaJF!
Ingetokea muujiza wa CHADEMA kuunda serikali chini ya Komredi Edward...wangevunja rekodi ya kuheshimu "haki za binadamu" duniani.Wangependa kufanya "chunguzi" ili kujiridhisha.
CHADEMA kupitia Wenje wana nakala zote za ubadhirifu uliofanywa na Marehemu Kabwe(RIP),lakini alipoadhibiwa walilalamika "haki za binadamu" na kusema "wamekurupuka" nk.
CHADEMA hawa bunge la 10 walimlaumu JK kwa kuteua mawaziri wanaolala bungeni,ati.......leo wanashangaa waziri kutenguliwa wadhifa kwa ulevi bungeni.Hawakubali katu...kijana wangu Malisa ameenda mbali na kuhoji...kuwa Lugumi itakuwaje kama waziri kaondolewa?.....Nikashtuka kiwango chake cha kumbukumbu,kasahau kuwa Lema kwenye hotuba yake alimtaka Kitwanga ajiuzuru?..anasahau kuna kamati imeundwa kuchunguza Lugumi?
Lissu kaenda mbali kuwashauri wezi wa makontena,mafuta,mishahara hewa waende mahakamani kwani "hawakutendewa haki za binadamu"....Je Kamanda Lissu upo tayari kumsaidia Kitwanga kisheria?
Lowassa aliahidi "hatafukua makaburi"....wezi,wabadhirifu wa zama iloyopita hawagusi ili "atengeneze matajiri wengi zaidi"...Naum yeye hataki kumletea mtu anayetafuta utajiri kauzibe..kila mbuzi ale urefu wa kamba yake ili nchi itengeneze akina "Mengi,Bahresa wengi hata mamilioni"...mtu asibuguziwe nyendo zake.
Kuna mengi ya kueleza ila niulize tu;Hii falsafa ya kila mbuzi ale urefu wa kamba yake ingetufikisha?