Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
Wanajamvi:
Mie nadhani serikali ya CCM in inaongoza katika bara la Afrika, kama siyo duniani kote, katika kuwafikisha mahakamani idadi kubwa ya Wabunge wa upinzani. Hii inaashiria nini? Kwa muono wangu, inaashiria woga mkubwa katika uongozi wa chama tawala kupoteza madaraka kuokana na kupoteza umaarufu na hivyo wanaona kuwafikisha mahakamani wabunge wapinzani kunaweza kukiokoa.
Nawasilisha.