Serikali ya CCM yaongoza duniani katika kuwapeleka mahakamani wabunge wa upinzani!

Acha kuishi kwa kudhani, lete chanzo cha habari yako. Halafu nashangaa sana eti thread kama hii inaachwa na mods kujadiliwa wakati thread zetu za kuiponda magwanda zinakataliwa. Hivi wewe ukisema CCM inanyanyasa wapinzani je ukienda Syria, Yemen, Libya ya Gadaffi, Lebanon, Sudan utasema nini. Tuache unafiki na tuanze kuongea kwa uhalisia, ni nchi gani duniani watu wana uhuru wa kujieleza kama Tanzania?

<br
HAPA HAKUNA KISOMO

Kitendo cha wale wanachama wa CDM kumweka "chini ya ulinzi" Mkuu wa Wilaya na kumdhalilisha si tu cha kihuni bali vile vile cha hatari.CDM washukuru huyo mama haku overeact na sheria inachukua mkondo wake.Ulizeni miaka ya awamu ya kwanza watu waliswagwa na waliozea rumande na wengine kipoteza maisha.Mtu ukijiweka kuwa upinzani ni pamoja na kuharass personally viongozi wa dola basi usishangae sana viongozi wengine wakikuchukulia hatua zilizo juu ya kile utegemeacho.Walichofanya hao wabunge na vijana wa CDM sio ujasiri bali ujinga na sitashangaa wakifanyiziwa.

kwa hiyo hapa unamponda baba wa taifa kuwa alikuwa dikteta,na ijulikane kuwa wakati ule tulikuwa na chama kimoja cha siasa SWALI hao wapinzani wangetoka wapi? huyu mkuu wa wilaya alifanya uhalifu alistahili alichostahili kama yeye aliona kuwa UDC ni kinga ya kutokukamatwa sasa ameona hili WATAFUNGULIWA MASHITAKA MENGI SANA lakini moja tuu ijulikane watanzania wanataka mabadiliko

Katika serikali inayoendekeza wapinzani hakuna kama ya Tanzania kwa sasa, nyie mlitakiwa kupata mtu kama Nyerere au Mkapa.

Swali: Hao wabunge unao wataja ni wa vyama vyote? Mi naona ni wa chama cha wahuni tu ndio wanao shitakiwa.

aah kwa hiyo unakubali kuwa Mkapa na Nyerere ni madikteta? sasa kama huyu tuliye naye anawafungulia mashitaka mahakamani polisi wake wanaua raia unafikiri Nyerere na Mkapa wangefanya nini zaidi ya hapo? acha uongo kijana kwanza huna mifano na hujafanya research unahisi tuu...

Kama wabunge wa upinzani waanavunja sheria za nchi..kwanini wasipelekwe mahakamani?

mkapa.Lowasa,Chenge,Rostam,Mzee wa suti wamevunja sheria za nchi kwanini hawajawafungulia mashitaka?

Mtoa mada ni sahihi kabisa, na anyebisha alete takwimu kwamba kuna serikali ya nchi nyingine duniani ambayo imewapeleka mahakamani wabunge wa upinzani wengi kuliko hii serikali ya Tz.

Kuna vitu vya ajabu sana hawa polisi wanafanya kwa maagizo ya wanasiasa wa CCM. Chukulia lile suala la Mbowe ku-jump bail. Huwezi ukaamini iwapo mapolisi wanafanya kazi kwa weledi -- wanafanya kishabiki tu, na kwa kutumwa na wanasiasa. Yule hakimu wa arusha aliwaibisha sana akina Chagonja na Kova -- wakaonekana mahayawani mbele ya jamii.

Acha kuishi kwa kudhani, lete chanzo cha habari yako. Halafu nashangaa sana eti thread kama hii inaachwa na mods kujadiliwa wakati thread zetu za kuiponda magwanda zinakataliwa. Hivi wewe ukisema CCM inanyanyasa wapinzani je ukienda Syria, Yemen, Libya ya Gadaffi, Lebanon, Sudan utasema nini. Tuache unafiki na tuanze kuongea kwa uhalisia, ni nchi gani duniani watu wana uhuru wa kujieleza kama Tanzania?

Kujieleza nikitu kingine jee wanatekelezewa mf niwatanzania wangapi wanapiga kelele kuhusu ufisadi kukosa madawa vifaa vya kufundishia mashuleni ukosefu wa majii nk wewe unajivunia kujieleza au kuwa na selikali kiziwi&kipofu haisikii kelele zetu haioni matatizo yetu

Kama wabunge wa upinzani waanavunja sheria za nchi..kwanini wasipelekwe mahakamani?

Shelia zinawahusu wabunge wa upinzani ccm hapana nikweli wanaiba wanauwa wanashikwa ugoni yanaishia hewani mwenye mmbwa hang'atwi ccm shelia ni zakwake sisi wanyonge ukiiba mhogo kwajilani kifungo mk15 wazili akiiba mk2 kunasiku tutapata shelia katiba itakayo tuweka wote sawa haitajalisha cheo kipato jinsia

Mimi napita tu maana yote yamesemwa tatizo nani wa kumvisha PAKA kengele. Sioni hata mmoja akimtetea mwananchi wa kawaida akasalimika tujifunze kuwa na ujasiri maana kweli haipo. Angalia wakina Ulimboka na wenzake yamewakuta mazito lakin mpaka sasa hakuna aliyesema ukweli wote wapo kimya . Awasemi ukweli sasa uamini lipi uache lipi

Wanajamvi:
Mie nadhani serikali ya CCM in inaongoza katika bara la Afrika, kama siyo duniani kote, katika kuwafikisha mahakamani idadi kubwa ya Wabunge wa upinzani. Hii inaashiria nini? Kwa muono wangu, inaashiria woga mkubwa katika uongozi wa chama tawala kupoteza madaraka kuokana na kupoteza umaarufu na hivyo wanaona kuwafikisha mahakamani wabunge wapinzani kunaweza kukiokoa.

Nawasilisha.

Kweli jamii forum limeanza kuchoka inakuwaje kichwa cha habari tofauti na yaliyomo. na hata yaliyomo hayana ukweli. yeye mwenyewe anadai nadhani.

Back
Top Bottom