Serikali ya CCM yaongoza duniani katika kuwapeleka mahakamani wabunge wa upinzani!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Wanajamvi:
Mie nadhani serikali ya CCM in inaongoza katika bara la Afrika, kama siyo duniani kote, katika kuwafikisha mahakamani idadi kubwa ya Wabunge wa upinzani. Hii inaashiria nini? Kwa muono wangu, inaashiria woga mkubwa katika uongozi wa chama tawala kupoteza madaraka kuokana na kupoteza umaarufu na hivyo wanaona kuwafikisha mahakamani wabunge wapinzani kunaweza kukiokoa.

Nawasilisha.

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Mimi nakubaliana kabisa na hili, serikali hii inaongoza duniani katika kuwafikisha mahakamani wabunge wa upinzani tena katika kipindi kifupi tu. Inafaa wapinzani wawakilishe malalmiko yao katika vyombo vya haki za kibinadamu humu nchini na vile vya dunia.

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,516
11,823
mpaka ifike mwaka 2015 nina uhakika kila mwananchi ambaye hana kadi ya ccm atakua na kesi mahakamani kama si ya kuandamana bila kibali basi ya kugombea chakula,maji,matibabu,shule

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Wanajamvi:

Mie nadhani serikali ya CCM in inaongoza katika bara la Afrika, kama siyo duniani kote, katika kuwafikisha mahakamani idadi kubwa ya Wabunge wa upinzani. Hii inaashiria nini? Kwa muono wangu, inaashiria woga mkubwa katika uongozi wa chama tawala kupoteza madaraka kuokana na kupoteza umaarufu na hivyo wanaona kuwafikisha mahakamani wabunge wapinzani kunaweza kukiokoa.

Nawasilisha.

Acha kuishi kwa kudhani, lete chanzo cha habari yako. Halafu nashangaa sana eti thread kama hii inaachwa na mods kujadiliwa wakati thread zetu za kuiponda magwanda zinakataliwa. Hivi wewe ukisema CCM inanyanyasa wapinzani je ukienda Syria, Yemen, Libya ya Gadaffi, Lebanon, Sudan utasema nini. Tuache unafiki na tuanze kuongea kwa uhalisia, ni nchi gani duniani watu wana uhuru wa kujieleza kama Tanzania?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,595
1,805
Magamba hawajui, wakati mwingine kumpeleka mwanasiasa mahakamani ni kumuongezea umaarufu yeye na Chama chake, nyinyi wenyewe ni mashahidi miaka 6 iliyopita Chadema kilikuwa hakujulikani lakini kutokana na CCM kutumia vyombo vya dora kudhibiti upinzani lakini matokeo yake wamekua wakiwaongezea umaarufu daily, walianza na ishu ya Buzwagi na Zitto Kabwe...

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,989
1,291
Samahani wakuu nilipita hapa nikadhani habari hii ina data kumbe mnafikiri basi ngoja niwaache mkifikiri nikaangalie hoja ambazo ni analytical.

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,041
Kama wabunge wa upinzani waanavunja sheria za nchi..kwanini wasipelekwe mahakamani?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,595
1,805
Hahaa unazi mwingine bana,
hebu sikiliza hii video watu zaidi ya kujieleza

Acha kuishi kwa kudhani, lete chanzo cha habari yako. Halafu nashangaa sana eti thread kama hii inaachwa na mods kujadiliwa wakati thread zetu za kuiponda magwanda zinakataliwa. Hivi wewe ukisema CCM inanyanyasa wapinzani je ukienda Syria, Yemen, Libya ya Gadaffi, Lebanon, Sudan utasema nini. Tuache unafiki na tuanze kuongea kwa uhalisia, ni nchi gani duniani watu wana uhuru wa kujieleza kama Tanzania?

Last edited by a moderator:

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Samahani wakuu nilipita hapa nikadhani habari hii ina data kumbe mnafikiri basi ngoja niwaache mkifikiri nikaangalie hoja ambazo ni analytical.

Data nilizozipata hadi sasa ni wabunge 12 wa upinzani wamefikishwa mahakamani katika kipindi cha miezi 9 tangu serikali ya Awamu hii ya CCM iiapishwe na kuingia madarakani -- yaani wastani wa wabunge 1.3 kila mwezi. Hii rate ni kubwa mno na ni ya kwanza duniani. Kama unabisha taja nchi ambayo serikali yake inaizidi hii ya JK katika hilo.

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Data nilizozipata hadi sasa ni wabunge 12 wa upinzani wamefikishwa mahakamani katika kipindi cha miezi 9 tangu serikali ya Awamu hii ya CCM iiapishwe na kuingia madarakani -- yaani wastani wa wabunge 1.3 kila mwezi. Hii rate ni kubwa mno na ni ya kwanza duniani. Kama unabisha taja nchi ambayo serikali yake inaizidi hii ya JK katika hilo.

Huo utafiti naona umeufanya kimoyomoyo

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,602
329
Lengo lao ni kuumaliza upinzani wanadhani miaka ileee, CDM ni kama Vietnam bwana unawapiga hawa linatokea kundi jingine kubwaaa> CCM wanatafuta kurudisha imani kwa wananchi kwa njia ya kuukandamiza upinzani badala ya kuwaletea maisha bora kama dr wao alivyosema

Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,202
812

Acha kuishi kwa kudhani, lete chanzo cha habari yako. Halafu nashangaa sana eti thread kama hii inaachwa na mods kujadiliwa wakati thread zetu za kuiponda magwanda zinakataliwa. Hivi wewe ukisema CCM inanyanyasa wapinzani je ukienda Syria, Yemen, Libya ya Gadaffi, Lebanon, Sudan utasema nini. Tuache unafiki na tuanze kuongea kwa uhalisia, ni nchi gani duniani watu wana uhuru wa kujieleza kama Tanzania?

Kwenye blue nimeamini unafikiri kwa kutumia masaburi, nchi zote ulizotaja ziko kwenye vuguvugu la kuondoa viongozi walio dhani nchi ni mali yao na familia zao.

Kwenye red inaonyesha masaburi yako yamefika mwisho wa kufikiri, uhuru wa kujieleza hutuwezi kujilinganisha na South Afrika, Malawi, Botswana, Kenya, Ghana, Madagaska nk. kwa bara la amerika ndo usiseme, ulaya na scandnavian countries zote huwezi linganisha, ukiruka Australia, Indonesia, Phillipines ndo usiseme. Hapa kwetu ukijieleza kwa kuwashutumu CCM, ujiandae kama si kukolimbwa au kukukatabalo, watakubenea kwa acid ama watakunyerere na mbaya zaidi watakupiga mzizi ama majini upotelee mbali.

Katika nchi viongozi wake duniani wanaamini na kuzitumainia nguvu za giza na Tanzania ni moja wapo. I hate them.

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Ccm inatumia jeshi la police na usalama wa taifa kudhoofisha upinzani.wamefuta kodi ktk kuagiza vifaa vya polisi hivyo wameanza kuagiza magari mengi ya maji ya kuwasha pamoja na mabomu ya moshi na risasi za mipira. Jiandaeni kwa kipigo.

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
611
184
Wanajamvi:Mie nadhani serikali ya CCM in inaongoza katika bara la Afrika, kama siyo duniani kote, katika kuwafikisha mahakamani idadi kubwa ya Wabunge wa upinzani. Hii inaashiria nini? Kwa muono wangu, inaashiria woga mkubwa katika uongozi wa chama tawala kupoteza madaraka kuokana na kupoteza umaarufu na hivyo wanaona kuwafikisha mahakamani wabunge wapinzani kunaweza kukiokoa.Nawasilisha.
Kitendo cha wale wanachama wa CDM kumweka "chini ya ulinzi" Mkuu wa Wilaya na kumdhalilisha si tu cha kihuni bali vile vile cha hatari.CDM washukuru huyo mama haku overeact na sheria inachukua mkondo wake.Ulizeni miaka ya awamu ya kwanza watu waliswagwa na waliozea rumande na wengine kipoteza maisha.Mtu ukijiweka kuwa upinzani ni pamoja na kuharass personally viongozi wa dola basi usishangae sana viongozi wengine wakikuchukulia hatua zilizo juu ya kile utegemeacho.Walichofanya hao wabunge na vijana wa CDM sio ujasiri bali ujinga na sitashangaa wakifanyiziwa.

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,396
Wanatumia masaburi kufikiri what do u xpect. Wanazidi kutupa chati kwa jamii... Peoplezzzzzz

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom