Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,506
141,232
Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.

TFF.jpg
 
Mimi nimeshawahi kuingia kwenye Mechi mara moja tu na Ahmad Amasha akatupiga bao sijarudia sasa ni mtu wa Radio na Runinga
Ahmed Amasha aliwahi kumvunja mguu Yusuph Ambwene wa CDA Dodoma.

Amasha alilia uwanjani baada ya tukio lile!
 
Serikali ya CCM kupitia waziri wa Habari mh Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.

Source: ITV habari!
Upuuzi tatizo walitengeneze wenyewe halafu mna jisifu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom