Ni zaidi ya waki nzima walimu katika baadhi ya halimashauri za wilaya hawajalipwa mishahara yao na hakuna chochote cha maana kilichoelezwa na wenye dhamana, licha ya kupewa ujira kiduchu na serikali lakini bado inawcheleweshea mishahara yao, baadhi ya wilaya zilizokumbwa na kadhia hiyo ni pamoja na Ilemela, Nyamagana, Ukelewe, Kigoma na nyingine kadhaa, Swali langu kwa hawa wakubwa, wanataka kusema hawalijui hilo? au kwa kuwa wao posho yao wanalipwa ndo hawawjali wengine.