Serikali ya CCM ni janga la taifa

Ibinzamata

Member
Nov 16, 2007
12
0
Ndugu zangu, tutafakari kidogo.

Kwa miaka mitano ya utawala wa JK, nchi yetu imekumbwa na balaa la hali ngumu sana ya maisha. Leo Watanzania tunakabiliwa na balaa kubwa la mfumuko wa bei katika kila bidhaa tuinunuayo. Takwimu zinaonyesha kila bidhaa imepanda bei mara mbili ya ilivyokua miaka mitano iliyopita. Hii inamaana gani? Uwezo wa mtanzania kununua bidhaa unapungua, hivyo biashara zinadorora, serikali inakosa mapato, ajira zinapungua, vipato vya watanzania vinapungua, uwezo wa watanzania kujikimu unapungua hivyo njaa, maradhi, umaskini vinaongezeka.

Watu wanaripotiwa kula mlo mmoja, familia kushindia uji, kusaga ubuyu na unga wake kuwa mlo, Matukio ya watu kuuana, kujeruiana, kukatana mapanga, kuchomana viganja nk., kwasababu tu ya kuiba mboga, kupoteza pesa za kuhemea dukani, kuunguza mboga nk yanaongezeka kila siku. Watu wanakata tamaa.

Haya yanatokea JK wetu yuko busy kuendeleza mzaha IKULU. Kila kitu kwake Ucheshi na burudani. Hajui nini afanye kukomboa Taifa ili. Akipewa nafasi na vyombo vya habari kuelezea mikakati yake ya kukomboa Taifa ili, yeye hupata kigugumizi wkt wa kujibu maswali, (tuna tuna tuna tuna jipanga, nina nina nina nina mpingao... mare mare mare mare marekani wameahidi....) Lkn akiwa kwenye mizaha yake huwezi kusikia hicho kigugumizi. Anaongea kama watu wa mipasho.

Karudi madarakani kwa ila, na marafiki zake ambao Taifa limewanyooshea vidole kwa kuliangamiza na ufisadi, sasa wameshika kasi kurudi kwenye hatamu za uongozi na wala JK hashtuki. Keshokutwa ataondoka na atawaachia madaraka wao. Tena kwa mabavu haya haya ya kuchakachua maamuzi ya wananchi.

Kuondoka na aondoke, lkn, kwanza atawaacha wananchi katika hali mbaya sana ya maisha baada ya utawala wake mbovu, na pia ataiacha nchi mikononi mwa majangili ambao ndio watapingilia misumari ya mwisho mwisho kwenye majeneza mengi ya watanzania watakaokua wanakufa kwa umaskini wa kutupa, njaa, ujinga, maradhi, magomvi, chuki, nk. Nchi iko katika janga. Janga ili ni RAIS wetu mwizi wa KURA. Tunakwisha. Tusipotafakari na kufanya maamuzi ya haraka kama waTZ, jua lazama
 
He is your Prezident for the next 5 years, you better get used
 
kwa ukweli Watanzania bado hatujapewa fursa ya kumchagua rais tunayemtaka. Wala marais aina ya JK hawakubali kuachia madaraka hata kama watu hawawataki. Hii ni aina mpya kabisa ya Udikteta
 
chekacheka style
chekibobu mzee wa toothpick kaazi kweli kweli
 
Tukimaliza mchakato wa uspika na mambo mengine, Slaa itabidi aanze kuzunguka kuwaelimisha wabongo. Na sisi tutaendelea na kuwaelemisha kwa ajili ya twenty fifteen!
 
Huyu mhashimiwa ni Cancer kabisa tena ya Ubongo kama ukimilinganisha na ugonjwa.
 
and not just a dictatorship but totalitarians:peep:
kwa ukweli Watanzania bado hatujapewa fursa ya kumchagua rais tunayemtaka. Wala marais aina ya JK hawakubali kuachia madaraka hata kama watu hawawataki. Hii ni aina mpya kabisa ya Udikteta
 
1. Kwa kulea ufisadi wa Epa, Kagoda, Meremeta, Tangold, Deep Green, ICS, IPTL, Rada,TRL, TICTS, Kiwira, mikata mibovu ya madini, nk, nk

2. Kwa kuanzisha Richmond/Dowans, kuwakingia kifua wezi wote, kuchakachua, elimu ya watoto wetu kura zetu, majeshi yetu, usalama wa Taifa letu, TAKUKURU yetu (kwa kuzigeuza kuwa taasisi za CCM),na kufifisha kabisa moyo wa utendaji kazi miongoni mwa watumishi waaminifu wa umma

3. Kwa kuruhusu uporaji wa mchana wa rasilimali za Taifa letu (madini, magogo, ardhi, samaki, nk, nk) na hivi sasa mchakato wa malipo ya DOWANS

4. Kwa kuwakosesha mamilioni ya watanzania huduma bora za Barabara, Maji (achilia mbali safi na salama), Umeme, Huduma za afya na elimu bora, na biashara ya ulanguzi wa haki inayoendeshwa hadharani na idara za Mahakama, usalama wa raia, idara za ardhi, nk, nk

Na mengine mengi ambayo sijayafahamu bado, vinanifikisha mahali ambapo nabaki sina uchaguzi mwingine zaidi ya kumtangaza rasmi JK, Makamba na CCM yao ambayo imetutawala kwa miaka 50 (nusu karne!) sasa kuwa JANGA LA KITAIFA! Watanzania tafakari.
 
Ukisema janga, inaonekana na wewe wameshakuambukiza uchakachuaji wao. Sema 'MAANGAMIZI!!'

.
 
Nina maumivu makubwa nafsini mwangu, ninapoona nchi yetu inauzwa hivi hivi, mchana kweupe na watu wanaojiita wenye nchi yaani Mbayu wayu na kundi lake. Lakini yote haya yamesababishwa na Baadhi ya Watanzania kama sio mchezo wa kuchakachua kura. Nina imani kubwa kuwa haya mabmo yatatusumbua sana mpaka pale atakapopatikana mkombozi wa kweli wa Watanzania.Ukombozi wa kweli wa Watanzania unatoka na unaanza na CHADEMA. Subiri tu uyaone, kama HUAMINI.People's power.Nina mwanangu wa miaka miwili ambaye ninamfundisha kuichukia CCM. Haina maana hata kidogo. Kwake ukionyesha alama ya vidole viwili anakujibu Peoples Power. Na anajua maana ya alama hii ni kuwa Ni CHADEMA. CCM si chama Cha Watz wenye matumaini. La sivyo tutakufa na ufisadi. CHADEMA NI TUMAINI LILILOREJEA. TUNAOMBA UONGOZI WA CHADEMA UWEKE UTARATIBU WA KUTANGAZA SERA ZA CHADEMA KAMA KWENYE SHEREHE ZA KITAIFA ZA CHADEMA HADI NGAZI ZA VITONGOJI NA MITAA. Ninachomshukuru MUNGU kwa hili ni kuwa SISI HADI UONGOZI WA CHINI NGAZI YA HALMASHAURI YA KIJIJI NI CHADEMA. HATUNA MCHEZO NA CCM NA HATUTAKI KUBABAISHWA. CCM KWETU FULL STOP.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom