Serikali ya CCM,MSIWADHARAU WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.

KaziIendelee

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
327
229
Hakika,ccm 2015 kuna utata,takwimu zinaonesha asilimia kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni wanachama wa CDM,HILI LIMESABABISHWA NA SERIKALI YA YENYE UCHU WA KUTAWALA HATA KWA UTEKAJI NYARA....LAKINI HAIWAJALI WASOMI WA VYUO VIKUU.Tsh 7,500 per day ni hela ndogo sana.

Sent via Huawei Y300.
 
Ni kweli 7500 ni ndogo, lakini thamani ya kitu usiangalie kwa mwenye kitu, iangalie iwapo hiyo 7500 isingekuwepo kungelitokea nini. Ndugu yangu fungua fikara zako. Elimu ya vijana wetu ni jukumu la ubia kati ya Serikali na wazazi. Naamini Serikali inatambua kiwango cha 7500 kwamba ni kidogo. Lakini kwa upande mwingine hebu angalia ongezeko la Taasisi za elimu ya juu na wanafunzi katika kipindi cha 2005 mpaka sasa. Ni Muda mrefu Tanzania tulikuwa na UDSM, Mzumbe SUA; ukikosa huko uende TIA, IFM, CBE na IAA. Hebu leo fanya mahesabu yako tuna vyuo vikuu vingapi? Ni mtizamo tu.
 
Binafsi nasema,kwasasa CCM haiwezi kuliongoza taifa hili,ambalo lina watu wenye uelewa mkubwa,CCM msipo badili mbinu,mkaendelea kuzi hold mbinu zenu za 1977, 2015 mtapigwa chali.
 
Wazo zuri la angalizo lakini watz pia haturidhiki. Km pesa zote zitaelekezwa kwa wanafunzi, bibi zetu walioko vijijini watatibiwa na nini? Kumbuka hii ni nchi sio familia. Tufuke mahali wasomi tuwe considerate
 
Wakuu hili la 7,500 msilitetee coz wanafunzi wanateseka mno vyuo vikuu,kwa mfano kwasasa....,Hapa MUCE hali ni mbaya hasa kwa dada zetu,kujiuza kwa wadada nilikuwa nasikia tu lkn sahv nashudia..NAUMIA SANA,TENA SANA..
 
Wasomi wachumia tumbo, hawakumbuki kuwa wamewaacha wazazi wao wako hoi bin taabani huko vijijini.
 
Wakuu hili la 7,500 msilitetee coz wanafunzi wanateseka mno vyuo vikuu,kwa mfano kwasasa....,Hapa MUCE hali ni mbaya hasa kwa dada zetu,kujiuza kwa wadada nilikuwa nasikia tu lkn sahv nashudia..NAUMIA SANA,TENA SANA..
Kuna vyuo hawapati mkopo, ht aslimia moja. Hao unawafikiriaje? 7500 ukiwa na akili timamu ni kubwa sana mkuu
 
Sawa japo ni ndogo but na hao vijana wa chuo wajaribu kujibana kwa sbb wanatambua familia watokazo n maskin sana+nchi yenyewe. Pia ongezeko la wanafunzi ni changamoto kubwa sana na binafsi kwa kiasi fulani gvt inajitahidi
 
Wakuu hili la 7,500 msilitetee coz wanafunzi wanateseka mno vyuo vikuu,kwa mfano kwasasa....,Hapa MUCE hali ni mbaya hasa kwa dada zetu,kujiuza kwa wadada nilikuwa nasikia tu lkn sahv nashudia..NAUMIA SANA,TENA SANA..
Tatizo lenu vijana mataka ukifika chuo uoe, umiliki music system na anasa kibao, sisi tulisoma na 2500 na wala sio mda mrefu sana imeongezwa ikawa hiyo mnayopewa leo, lakini hamridhiki
 
Ipi siku ccm wataimwaga damu yangu kwa sababu ya kutetea haki za wananchi.la bibi zetu kutibiwa bure hasa vijijini hilo halipo mkuu,ni sera chafu za ccm za kudanganya umma,nenda vijiji waulize wazee uone watakavyokuambia,inasikitisha.....
 
Hakika,ccm 2015 kuna utata,takwimu zinaonesha asilimia kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni wanachama wa CDM,HILI LIMESABABISHWA NA SERIKALI YA YENYE UCHU WA KUTAWALA HATA KWA UTEKAJI NYARA....LAKINI HAIWAJALI WASOMI WA VYUO VIKUU.Tsh 7,500 per day ni hela ndogo sana.

Sent via Huawei Y300.

Mkuu Mnyiramba kwa mwezi ukipiga hesabu ni shs ngap hiyo? 225000 (hakuna makato yoyote). Ni kiasi cha wastani tunaweza kudemand zaid, na pia tunweza kujibana.

Ningekuona unawaza mbali ungesema serikali iangalie upya swala la ulipaji wa ada through means testing kw sababu imegundulika kuna udanganyifu, na njia hii haijaweza kuwatambua wanafunzi wasio na uwezo au wenye uwezo.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu vijana mataka ukifika chuo uoe, umiliki music system na anasa kibao, sisi tulisoma na 2500 na wala sio mda mrefu sana imeongezwa ikawa hiyo mnayopewa leo, lakini hamridhiki

Kudeal na vijana wa chuo kikuu ni changamoto
 
Kuna vyuo hawapati mkopo, ht aslimia moja. Hao unawafikiriaje? 7500 ukiwa na akili timamu ni kubwa sana mkuu

Mkuu wewe hujafika huku,huenda unayasema hayo coz ww ni mtoto wa kishua,Lecturers wagawa handout karibu kila siku,na gharama ya handout 1 inafika hadi Tsh 3500,afu hujala,hujanywa,hujanunua mahitaji mengne
 
Nadhani kama mnataka mahitaji yenu yawe na msingi, semeni serikali iboreshe maabara, library pawe na enough books. Haya madai ya allowance hayana tofauti na wabunge wetu
 
Mkuu Mnyiramba kwa mwezi ukipiga hesabu ni shs ngap hiyo? 225000 (hakuna makato yoyote). Ni kiasi cha wastani tunaweza kudemand zaid, na pia tunweza kujibana.

Ningekuona unawaza mbali ungesema serikali iangalie upya swala la ulipaji wa ada through means testing kw sababu imegundulika kuna udanganyifu, na njia hii haijaweza kuwatambua wanafunzi wasio na uwezo au wenye uwezo.

Mkuu haya yote ni mawazo tena ni mazuri sana cha msingi serikali iwajali wasomi hawa...
 
Last edited by a moderator:
ccm chama chakavu kushinda 2015 ni sawa na ndoto za kichaa kujenga ghorofa angani chadema ni mpango wa Mungu M4C DAIMA
 
Nadhani kama mnataka mahitaji yenu yawe na msingi, semeni serikali iboreshe maabara, library pawe na enough books. Haya madai ya allowance hayana tofauti na wabunge wetu

Ni kweli ,ila kweny hizo maabara utasoma ukiwa na njaa?
 
Back
Top Bottom