Serikali ya ccm mkiendelea kuuwa wananchi kwa kasi hii mtatawala nani?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Sasa imeanza kujengeka tabia ya kutumia risasi za moto na kuuwa wananchi wasio na hatia. Hiyo ni dalili ya uongozi wa udikteta wa kutaka kunyamazisha sauti za wananchi. Leo hii wananchi 3 watatu wilayani Mbarali wameuawa na polisi na vurugu bado zinaendela. Kwa mwenendo huu, ccm na serikali yake wanataka kumtawala nani?? Mbona wanawauwa wanaowatawala?
 
Itatawala wanao tii taratibu na sheria za nchi!
 
Back
Top Bottom