Serikali ya CCM inanyanyasa wafanyakazi wasio kuwa na akaunti NMB

Feb 8, 2012
92
8
Hii inadhihirisha jinsi gani serikali ya CCM inavyopeleka nchi kubaya kwa kuendeleza urasimu wa kipumbavu katika ulipaji wa mishahara kwa watumishi wasio kuwa na akaunti NMB.Wafanyakazi wa serikali wenye akaunti benki nyingine kama vile NBC,CRDB wamekuwa wakinyanyaswa kwa muda mrefu kwa kucheleweshewa mishahara yao kwa makusudi ili wakate tamaa kuchukulia mishahara benki nyingine.

Tunajua nyini mafisadi mnategemea pesa za kuwahonga wapiga kura kutoka benki ya NMB.....lakini isiwe sababu kuwatesa baadhi ya watumishi wa serikali walioikimbia benki hii kwa kuwawekea mishahara yao tarehe 5.

Huu ni uhuni...Kwa nini nchi hii inakosa utawala bora? Kwani ni dhambi mtumishi kuamua mwenyewe mshahara wake upitie benki anayoipenda ? Hivi hawa viongozi tuliowapa dhamana ya kutuongoza wameshindwa uongozi?
 
duh! Hivi wewe ungeweza kulipa kama kilamtu angelipwa anavyotaka? Benki, sakosi, kikoba, m pesa, tigo pesa. Hiyo fujo ingekuwaje?
 
Hoja yako haina mashiko...kabla hujalalamika jiulize unafanya kazi wapi n' then ulisemee kundi lako!JF is the place for great thinkers so, s kila hoja, kisa umeweka neno CCM then ukafk watu wataisapot....
 
Think tankers msihangaike na mtu anafikiri kidogo kwanza jina lake anaitwa opportunist tena mchanga wa mwaka 2012 hamshangai tu
 
duh! Hivi wewe ungeweza kulipa kama kilamtu angelipwa anavyotaka? Benki, sakosi, kikoba, m pesa, tigo pesa. Hiyo fujo ingekuwaje?

u dont f*****n know what ur talkin about,its true nmb customers(govt employees) get there salaries early,because nmb is a sole distributor of govt employees salaries.they serve their cusomer first and delay other bank's customers period.
 
Huku tunalazimishwa tufungue akaunt NMB,na mm ni victim wa hli Tatizo,i.e.Nmb walikura jana,mm NBC na wenzangu tupo tunapga mihayo as if c wafanyakaz.Bt one day nlishawai kupachimba na (wenzagu walikuwa wamekuja likzo wapo UDOM) office husika,next mun 2likuwa 2napata sambamba,naona wamerudia tatzo lile,unfortunately wenzangu wako masomoni.Tatzo ni Mkurugenz sehemu hucka,nackia ana ubia na Mameneja wa NMB,Eg.Kupeleka Fixd akaunt.Bt ol ni ol serikali inayoongozwa na chama kp?Naic yuko ok
 
Jamani mimi hadi leo hii nateseka sababu ya huu utaratibu wa kimafia, sijapata mshahara hadi sasahivi, leo hii. crdb mwanza kulikoni?
 
mmmmh! Hii serikali ya ccm inakazi kweli kweli bado kidogo mtaamka asubuh nakulalamika serikali ya ccm haijawatandikia vitanda!!
 
Back
Top Bottom