Serikali ya CCM inakasumba ya kudharau wataalam wetu wa IT toka mwanzo tu mfano profesa Shayo

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,796
32,661
Ebwana wanaJF Mzuka!

Nimenukuu michango ya watu kwenye uzi tarehe 1 Dec 2008

sina hakika na taarifa hii ila inasemekana msomi mahiri na mwanasiasa mpambanaji aliyeusaka urais kwa mark ii amefariki. Walio karibu na mlima wetu pale ubungo mtujulishe



Nimeipta a hiiyo; huyu bwana alitengeneza historia; no one has done that; nimeambiwa na mtu aliye karibu na familia hiyo kuwa alikuwa akiugua huko arusha ila hakuwa na details; mwenmye nazo mtupe maana kuna vitu vingi;
1. kijiji cha hesabu na sayansi ( iwekeni vema h apa) kiliundwa na Mwl kikafia mikonono mwake;
2. Alitengeneza program ya madaktari ambapo kwa technolojia za TZ hazijawahi ( iko pale Tumaini Hosp ( iongezewe kama kuna sehemu zingine)- Alifaulu sijui hiyo project kamaserikali iliiendeleza au ndio dharau
3. Aligombea urais kwa Mark II; hakufua dafu
4. Ni mtetezi wa wanyonge wa kweli na nimesoma makala zake nyingi pale Mwananchi na Tz daima kama sikiosei; ana kitu kichwani kusaidia wanyonge
5. Ni mwanasayansi aliyeibukia Siasa
Ni miongoni mwa Maprofessor waliotumia vema taaluma yao bila kuyumbishwa na watawala ( alisoma kiukweli ukweli -hakukariri kama maprofessor wengine wolivyo watu wa ndio mzee)
==>yangu hayo jamani kama kuna mtu alete jamvini ila kwa hakika jamaa bado anahitajika ktk kizazi cha sasa tutampoteza mtu mhimu mno.

CCM regime ilimbeza ikamdharau na kumtupilia mbali hadi akafa na cha kuhuzunisha walikuwa wanawatumia wataalam kutoka nje.


#SayNoToWataalamFromRwanda
 
Na ndiye alichora kujenga na kumiliki jengo la Inter House pale makumbusho ilipo Akiba commercial Benk
 
Back
Top Bottom