Serikali ya CCM inaitawala Tanzania kwa mtaji wa UJIN GA wa watu wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM inaitawala Tanzania kwa mtaji wa UJIN GA wa watu wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jun 9, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda sana hii comments ya bwana Bakari kwenye mtandao wa gazeti la mwananchi
  ..........................................
  +2 #1 Bakari 2011-06-09 06:54
  Serikali ya CCM inaitawala Tanzania kwa mtaji wa UJIN GA wa watu wake. Haiwezi kutoa kipaumbele kwa ELIMU kwa kuwa ndio mtaji.

  CCM inaichimbia kaburi Tanzania, kwa kuiingiza kwenye EAC ilhali ikikandamiza ELIMU, suala litakalofanya Watanzania kuwa wafagiaji kwenye soko la ajira la EAC.
  ------------------------------------------
  UJINGA WA WATANZANIA IKIWA NI PAMOJA NA WASOMI NA VIJANA NDO CHANZO CHA UMASKINI TANZANIA. WAPO WALISOMA LAKINI HAWAJAELIMIKA, NA HEKIMA NA UADILIFU HAWANA. WANANCHI WANAABUDI VIONGOZI WAKATI NDO WAMEWAWEKA KAZINI KWA MUJIBU WA SHERIA. TAPELI ANAWEZA AKA MAKE LIFE TANZANIA, KWA KUDANGANYA UMMA. MPAKA RAIS NASHINDA KWA KUDANGANYA UMMA. SHERIA HAZIFANYI KAZI KWA SABABU YA RUSHWA. MAENDELEO YA POLISI YANATOKANA NA KUKUSANYA PESA KWA NJIA YA RUSHWA. ALIMRADI UNA HELA YA KUWAPA POLISI NA HAKIMU, UKO JUU YA SHERIA. SHERIA NYINGI ZIMETUNGWA KWA AJILI YA KUBANA MASKINI. HUNA HELA HUNA HAKI.
   
 2. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa, ujinga ndo unaofanya watanzania wengi waishie kuwaabudu viongozi, ndomana unaona police, mahakama, tbc na bunge vyote vimegeuka na kuwa asasi za kuitetea serikali lakini haya yote na matokeo ya ujinga, hivyo ni ukweli usiopingika kuwa UJINGA NDIO MSINGI WA SERIKALI hivyo hawawezi kuipa elimu kipaumbele na ndomana wamewafutia watoto wa maskini mitihani ili waendelee kubaki zero, uku watoto wao wanasoma shule bora ambazo zinawastani wa kuvukia vidato, yote haya ni ili watoto wao waendelee kuwaongoza wajinga yaani watoto waliopita mazingira yaliyopewa jina shuleni uku hamna walimu, vitabu, mitihani n.K lakini haya yote yanamwisho.
   
Loading...