Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Wakati wa hayati JPM tuliambiwa mradi utakamilika Nov 2019. Hapo tukapata uhakika wa kutembea na train Dar Moro kwa nusu saa.
Baadae mambo yakabuma tukaambiwa mwaka 2020 mapema tu mradi utakamilika.
Baadae tena baada ya JPM kufariki tukaambiwa April 2021. Lakini mpaka sasa ni kimya kizito.
Tukapigwa sound kuwa ni Agosti 2021 kila kitu kitakamilika na mabehewa yameshakamilika. Mpaka sasa ni kimya na tunaitafuta 2022.