Serikali ya CCM haina pesa ya Uchaguzi ndio maana wanalilia mkopo wa WB. Miradi imekausha Hazina, wanawaza Uchaguzi na fedha ya nyongeza ya mishahara

Ungejibu hoja yake, pengine watu wengine wangepata shida ya kutambua ni nani mjinga kati ya wewe na mleta hoja. Lakini kwa namna ulivyomjibu mleta hoja, umewarahisishia watu kuujua ujinga wa kwako kuliko wa mleta hoha.
Ujinga siku hizi una kiwango cha kidato cha nne na zaidi! Sasa nimeamini ni sawa kabisa aliyesema wanaenda shule kusoma ujinga. Kiranja wao mkuu ni yule ajiitaye msemajiukweli hali akijua anasema uongo!
 
Wewe kama siyo mwoga wala kondoo mbona hujitokezi ukapambana ili tujue wewe siyo kondoo bali ni mpambanaji? Nafikiri wewe utakuwa zaidi ya kondoo na mwoga kuliko watu wote duniani.

Mimi sipambani na polisi, kamuite jiwe tukutane face to face utajua mimi na yeye nani yuko vizuri. Na vile anategemea kung'ata hutaamini kipondo nitakachompa.
 
Tanzania yetu ina wachumi kila sehemu!

Huyu mleta mada naye ni mchumi mwenye uwezo wa kudadavua masuala ya kiuchumi na kufikia hitimisho kuwa serikali haina pesa za Uchaguzi Mkuu!

Huyu mleta Mada inawezekana ni University graduate lakini ukichunguza kupitia mada yake utagundua ujinga wake niwa kiwango cha elimu ya sekondari (O-level) na sio A-level!
Jibu swali.

Serikali inapesa? Nyie si mlijinasibu ni matajiri?

Mbona mnalilia visenti toka kwa mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok. Tuamini mchumi mubobezi wa jf kwa post yako kuwa sawa.
Je miradi hiyo uliyotaja hata kama ni kwa mikopo ile value for money ipo haipo?
Je miradi hiyo ina manufaa hata kama sio leo ila kesho au hakuna?
Nani atathirika kama uchaguzi ukiahirishwa kwa kukosa pesa?
Je lini nchi yako haikuwahi kukopa WB ktk awamu zilizopita?
Je deni la 55tril kama ulivyosema limekuwa genereted awamu hii tu au linaongezeka kwa maana limerithiwa?

Salute kwako mkuu kwa bandiko fikirishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maswali yaelekezwe lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana hakuna mtu unaweza kudivert hela ya WB, wewe inaonesha una mihemko tu. Muulize Zitto na urundi wake, anakumbuka pale dawati la EU kabla hajawa mbunge bado ni Kapuku ngoma ilivyokuwa? Zitto

Kama hakuna mtu wa kudivert hela WB mbona wameizuia isije Tanzania?
Bado hoja ya Zitto ina mashiko maana WB wameona hiyo 500m USD around 1.1 Trilion Tshs Serikali ya JPM wakipewa itaenda kwenye Uchaguzi Mkuu 2020 na hapohapo itatumika kuwabana Vyama vya Upinzani wasifanye kampeni za Uchaguzi kwa sababu ya sheria za kuzuia mikutano ya ndani na nje lakini pia itakwenda kubagua kusomesha Watoto wa kike waliopata mimba kwa bakhti mbaya wakiwa shule. Badala ya Jiwe ku-deal na wakware wanaopwapa mimba watoto yeye anawaongezea machungu watoto wa kike.
WB wako sahihi na wameona kuwa tatizo lipo kwa Utawala huu ndo maana wamezuia huo mtonyo mpaka kieleweke..
 
Tatizo lenu imeisha vuka daraja na sasa halina thamani kwenu. Kama ni watoto wanasoma private, wale wa kayumba ambao mkopo utawanufaisha hamwajali. Huu ni ubinafsi
 
Tanzania yetu ina wachumi kila sehemu!

Huyu mleta mada naye ni mchumi mwenye uwezo wa kudadavua masuala ya kiuchumi na kufikia hitimisho kuwa serikali haina pesa za Uchaguzi Mkuu!

Huyu mleta Mada inawezekana ni University graduate lakini ukichunguza kupitia mada yake utagundua ujinga wake niwa kiwango cha elimu ya sekondari (O-level) na sio A-level!
Mi nafikiri ujinga wako ni wa kiwango cha ubashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom