Serikali ya CCM haina pesa ya Uchaguzi ndio maana wanalilia mkopo wa WB. Miradi imekausha Hazina, wanawaza Uchaguzi na fedha ya nyongeza ya mishahara

Tanzania yetu ina wachumi kila sehemu!

Huyu mleta mada naye ni mchumi mwenye uwezo wa kudadavua masuala ya kiuchumi na kufikia hitimisho kuwa serikali haina pesa za Uchaguzi Mkuu!

Huyu mleta Mada inawezekana ni University graduate lakini ukichunguza kupitia mada yake utagundua ujinga wake niwa kiwango cha elimu ya sekondari (O-level) na sio A-level!
Wewe umeonyesha umeishia kidato chapili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kulialia tu sisi tunaendelea kuchapakazi na Oktoba ndiyo mwisho wa upinzani Tanzania

Upinzani uko toka dunia hii kuumbwa, labda kama hujui unachoongea. Sema hiyo october vyama vya upinzani vitahujumiwa ili visiwe na wawakilishi. Jitahidi kutambua tofauti ya vyama vya upinzani kukosa wawakilishi kutokana na hujuma, na kufa kwa upinzani.
 
Naomba nieleweke na atakayetaka kuamini sio jukumu langu ni lake kutafakari na kuona facts.

Rais Magufuli alidanganya umma kuwa tunajenga kwa fedha za ndani ukweli ni kwamba tumekopa sana kwa ajili ya miradi mikubwa mingi isiyo katika bajeti wala uwezo wetu wa kuijenga kwa pupa kiasi hicho kwa mifano ifuatayo;
1. SGR inayogharimu tril 7
2. Stieglers gorge inayogharimu tril 6.7
3. Ununuzi wa ndege unaogharimu tril 1.9
4. Ununuzi wa ndege binafsi za rais unagharimu bil 500
5. Unenji wa madaraja unagharimu zaidi ya tril 1

Tukumbuke tuna deni la taifa linazidi tril 55 ambalo kila mwaka lazima lilipwe riba na rejesho huku kodi na mapato kwa nchi ukiweka na matumizi huwa tunabaki na nakisi (madeni)

Na kwa ufupi mapato na matumizi havilingani kwa nchi yetu. Sisi ni matajiri ila utajiri wetu wa mdomoni. Kwa vitendo zero kabisa ni umangungo tupu.

Kikubwa zaidi mapato na.mikopo yetu tunayoiweka kwenye miradi karibia 80% ya matumizi yake yanaenda nje ya nchi kwa sababu wakandarasi wote ni raia wa nje, hapa bongo fedha haikai, kuanzia ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli hata ujenzi wa Stiegler fedha zinaenda nje.

Na kinachoangaliwa na serikali hii kwa mwaka huu ni kuongeza mishahara na uchaguzi fedha hazipo ndio maana wanatoa jicho wakope kokote ili waondokane na aibu ya kujiita matajiri na sio kingine.

Awamu hii sio kwa hali hii ya kulilia mikopo inayojimwambafai kukusanya kuliko awamu zilizopita.
Uongo mtupu.

Serikali ya Magufuli ina pesa nyingi kuliko hata FEDERAL RESERVE kule USA
 
masoudkipanya_B77fZUDjMyQ.jpeg
 
Tanzania yetu ina wachumi kila sehemu!

Huyu mleta mada naye ni mchumi mwenye uwezo wa kudadavua masuala ya kiuchumi na kufikia hitimisho kuwa serikali haina pesa za Uchaguzi Mkuu!

Huyu mleta Mada inawezekana ni University graduate lakini ukichunguza kupitia mada yake utagundua ujinga wake niwa kiwango cha elimu ya sekondari (O-level) na sio A-level
Malizia kukaa GOGO kwanza
 
Unamdanganya nani? Hela ya world bank unajua inavyotumika na ‘ no objection’ zao. Unaota ndoto za ndalia wewe

Wewe ndiye unajidanganya mwenyewe…!
WB siyo wapuuzi kama kina Pro'~ Kabundi na kina Osoro na Jiwe wao!
WB ina wasomi wanao jitambua na walobobea kwene maswala ya Kifedha.
Hoja ya ZZK wameiona na wameikubali na kuifanyia kazi " NO MKOPO TO TANZANIA! Full stop.
Kwameiona
Uongo mtupu.

Serikali ya Magufuli ina pesa nyingi kuliko hata FEDERAL RESERVE kule USA

Hii ni DONA la unga kantri…!
 
Naomba nieleweke na atakayetaka kuamini sio jukumu langu ni lake kutafakari na kuona facts.

Rais Magufuli alidanganya umma kuwa tunajenga kwa fedha za ndani ukweli ni kwamba tumekopa sana kwa ajili ya miradi mikubwa mingi isiyo katika bajeti wala uwezo wetu wa kuijenga kwa pupa kiasi hicho kwa mifano ifuatayo;
1. SGR inayogharimu tril 7
2. Stieglers gorge inayogharimu tril 6.7
3. Ununuzi wa ndege unaogharimu tril 1.9
4. Ununuzi wa ndege binafsi za rais unagharimu bil 500
5. Unenji wa madaraja unagharimu zaidi ya tril 1

Tukumbuke tuna deni la taifa linazidi tril 55 ambalo kila mwaka lazima lilipwe riba na rejesho huku kodi na mapato kwa nchi ukiweka na matumizi huwa tunabaki na nakisi (madeni)

Na kwa ufupi mapato na matumizi havilingani kwa nchi yetu. Sisi ni matajiri ila utajiri wetu wa mdomoni. Kwa vitendo zero kabisa ni umangungo tupu.

Kikubwa zaidi mapato na.mikopo yetu tunayoiweka kwenye miradi karibia 80% ya matumizi yake yanaenda nje ya nchi kwa sababu wakandarasi wote ni raia wa nje, hapa bongo fedha haikai, kuanzia ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli hata ujenzi wa Stiegler fedha zinaenda nje.

Na kinachoangaliwa na serikali hii kwa mwaka huu ni kuongeza mishahara na uchaguzi fedha hazipo ndio maana wanatoa jicho wakope kokote ili waondokane na aibu ya kujiita matajiri na sio kingine.

Awamu hii sio kwa hali hii ya kulilia mikopo inayojimwambafai kukusanya kuliko awamu zilizopita.

Mkuu bila kupinga bandiko lako, hivi hizo pesa zilikuwa zinakuja kwa mtiririko gani, hilo litatusaidia kupima unachosema. Ila ukweli ni kuwa serikali kwa sasa ina hali ngumu kifedha hilo halina ubishi.
 
SGR ilikuwa ianze kazi mwaka 2019; what happened? Tulitangaziwa kwa mbwembwe kuwa ndege za ATCL zimepewa slot Heathrow airport kuanzia December 2019, zimeanza kwenda?

Sio hivyo tu, pia kuna hatari kubwa miradi miwili ya SGR au SG isikamilike kama ilivyotarajiwa wakati wote wa utawala wa rais Magufuli, na rais ajaye akajikuta kwenye wakati mgumu kumalizia kutokana na ulipaji wa deni.
 
Tatizo lako hujui mambo subiri mwaka huu utapanda treni mkuu kwenda Morogoro toka Dar. Kuhusu Ndege kwenda UK hatuendi mpaka wasaliti tuwanyooshe kwanza wanaosababisha kukamatwa ndege zetu. Ila Februari tunaanza kwenda China.

Ndege zina zaidi ya mwaka kila siku tunasikia tunaenda China. Unanunua ndege za masafa marefu, unakaa nazo zaidi ya mwaka ukisaka sifa za kisiasa huku ndege hizo hazifanyi safari zilizokusudiwa, huo wala sio ulimbukeni Bali Ni ujuha.
 
Nasikia eti Zitto Kabwe amefanya sherehe Watanzania kukosa Mkopo. Upuuzi wa Zitto umemfanya awe kicha..saaana.
Nikiwaeleza kuwa Jamaa ni kuadi na Mpiga dili mnachukia.
Nikiwambia Zitto hana Uzalendo na nchi yetu hamuelewi.
What next, nikumpuuza tu kama Punguaaniiiii.

Wabunge wa ccm ni wazalendo, kipi kimewashinda kwenda kujenga hoja huko WB, ili huo mkopo utoke? Kama ccm ina wabunge wengi mnashindwaje na mtu mmoja, au huko nje hakuna mbeleko ya vyombo vya dola? Tena inatakiwa Zito awe na ushahidi wote wa hizi chaguzi za kishenzi zinazofanyika hapa nchini, ili nchi za mabeberu waweke mbinyo mkali hata wa kutonunua bidhaa zetu ili tuwe kama Zimbabwe. Hii itachangia siasa za mabavu kuondoka hapa nchini.
 
Tanzania yetu ina wachumi kila sehemu!

Huyu mleta mada naye ni mchumi mwenye uwezo wa kudadavua masuala ya kiuchumi na kufikia hitimisho kuwa serikali haina pesa za Uchaguzi Mkuu!

Huyu mleta Mada inawezekana ni University graduate lakini ukichunguza kupitia mada yake utagundua ujinga wake niwa kiwango cha elimu ya sekondari (O-level) na sio A-level!
Umeonyesha uzembe wako, kwa kumtusi tuu, umeshinda kumpinga kwa hoja . Lete analysis zako ndio tujue wapi amekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiye unajidanganya mwenyewe…!
WB siyo wapuuzi kama kina Pro'~ Kabundi na kina Osoro na Jiwe wao!
WB ina wasomi wanao jitambua na walobobea kwene maswala ya Kifedha.
Hoja ya ZZK wameiona na wameikubali na kuifanyia kazi " NO MKOPO TO TANZANIA! Full stop.
Kwameiona

Hii ni DONA la unga kantri…!
Pole sana hakuna mtu unaweza kudivert hela ya WB, wewe inaonesha una mihemko tu. Muulize Zitto na urundi wake, anakumbuka pale dawati la EU kabla hajawa mbunge bado ni Kapuku ngoma ilivyokuwa? Zitto
 
Back
Top Bottom