Serikali ya CCM haina matumaini ya kuwapa wanafunzi zaidi ya umachinga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM haina matumaini ya kuwapa wanafunzi zaidi ya umachinga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jan 29, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nauliza wadau: Hivi serikali ya CCM ina kitu gani cha kuwapa wanafunzi wanaomaliza shule zaidi ya umachinga? Hawa maelfu ya wanafunzi wa Kidato cha 4 waliofeli, na hata waliofaulu, kitu kikubwa kinachowangejea ni kutembeza nguo nk barabarani.

  Nadhani ndiyo maana kufeli kunazidi. Fikiria: Mwanafunzi anafanya mitihani huku mawazo yake ni kwamba siyo kufeli tu, hata akipasi ni umachinga tu ndiyo unaomngoja. Siyo wote, lakini wengi wao huwaza hivyo.

  Nawasilisha.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu Zak kwa mada hii. CCM haina matumaini ya kuwapa si wanafunzi tu, bali wananchi wote isipokwa labda wale wachache sana wajanja -- yaani mafisadi. Hawa ndiyo wanayo matumaini makubwa katika kuifaidi nchi hii.
   
 3. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuna mpango wa kilimo kwanza umeanzishwa, walijua watapata zero wakalime hapa pm pinda last month alisema atatumia hao vjana wanaomaliza form 4 knye kilimo!
   
Loading...