Serikali ya awamu ya tano imetaharuki kujeruhiwa Lissu

Hakika, ukweli utamweka huru kila binadamu. Katika uovu wote siku zote ukweli huwa unashinda. Hivi kwani serikali yenyewe imekuwa kipofu, haijui kana inatengeneza kombora litalo iripukia? My Observation, watu sasa hivi wanashinda kwenye smart phone, na wana hasira kwelikweli, hasa wanapojifunza kila uovu ambao serikali inamfanyia Lisu na makando kando yake.
 
Tumuache lissu auguze majeraha yake mungu yuko naye lakini ninyi wanachadema kutumia hali ya lisu kujijenga kisiasa mungu atawalaani.hivi chadema wanaopata m 300 Kwa mwezi wanahitaji michango hiyo?
Kwani viongozi wa ccm wanapopelekwa huko Apollo huwa natumia ghalama za chama au mfano spika ndungai
 
Nadhani roho inamuuma sana maana Lisu hajawambia wamwombee watu kwa kujua umuhimu wa Lisu ndio maombi yanakuja automatic lakini wewe kila hatua naomba mniombee. na hakuna dalili ya wewe kuombewa lazima roho ikuume... kumbuka sala ya watu ina nguvu haswa.. Asante Mungu kwa kuisikia sala zetu. endelea kumponya Tundu Lisu kwa kweli na umefanya maajabu
Mkuu hii nimcheka mwenyewe!Kweli nilazima hapa kuna mtu halali usiku!Eti adui yako namba 1 ambaye unataka kila mtu amtenge na kumlaani,leo kila mtu anahimiza wakusanyike wamuobee wakati wewe hata wife wako hakuombei!Na Mungu akiamua kukuinua hakuna wa kumpinga!(Bob Marley alishasemaga "What Jah blessed no one......)
Kwa sasa namfananisha huyo mtu na lijamaa limoja kwenye Biblia linaitwa Naaman alivyo kuwa akihisi namna Modekai hataki kumsujudia alafu baadae akashudia akiambiwa amzungushe mji mzima akimsifia!
 
Tumuache lissu auguze majeraha yake mungu yuko naye lakini ninyi wanachadema kutumia hali ya lisu kujijenga kisiasa mungu atawalaani.hivi chadema wanaopata m 300 Kwa mwezi wanahitaji michango hiyo?
Watawala ndo wanaomjega TAML na upinzani kwa ujumla kisiasa kwa kuwa reactive badala ya proactive katika siasa za vyama vingi!
 
Hayo yangefanyika mapema kwa nia nyingine ingekua haina shida ila kwa sasa hawa waçhangia damu walionitokeza wanalifanya kujipatia umaarufu wa kisiasa kupitia tukio la TL
Huo si ukweli na hata kama ni ukweli damu ikitolewa wanaofaidika ni akina nani. Au unafikiri yote inahitajika kumsaidia TAML!
 
Back
Top Bottom