Serikali ya awamu ya tano imekubali yaishe kwa magari aina ya 'mashangingi'?

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
186
Niwaulizeni wana jamvi,

Hivi mbona bado nayaona magari aina ya 'mashangingi' tunapishana nayo mtaani. Tena ya sasa hivi naona wanachukua yenye hips kubwa, mazuri mpaka raha.

Kweli ukionja huwezi kuacha. Inahitaji nguvu ya ziada kuyaacha. Yanabonyea unapoyapanda. Yaani ni macho kodo kila yapitapo.

Nakumbuka kaka mkubwa alisema hataangalia sura wala nini lakini naona kakubali yaishe.
 
Jaribu kufuatilia Kwa makini, cku hiz serikali inaagiza Prado new model ambazo zina cc ndogo tofauti na v8.
 
image.jpeg


Magari haya "Kilimo Kwanza" ni starehe balaa.
Waziri Mkuu mstaafu Kayanza Mizengo Pinda alijaribu kuyapiga marufuku bila mafanikio.
 
Naona wakurugenzi wote wameletewa mapya na ya kisasa,wakati yule jamaa alisema watakarabati yale ya zamani yaendelee kudunda,sasa sijui nini kilitolea hapo katikati
 
Cha kusikitisha eti hata Rpc mlinzi wa Amani Naye yumo kwenye v8 mbeba silaha,mlinzi wa raia anayetakiwa kulala nje kulinda raia!
 
Back
Top Bottom