Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,248
- 6,264
Heheheh jiwe alikua muongo balaa. Kumbe mtu muongo ndo kipenz cha wengi.
Aliwezaje kujenga miradi yote hiyo bila makusanyo ya TRA? Kwa hiyo ile kauli ya kupora pesa za wafanyabiashara imekufa tena??!!Wakati huo mwendakuzimu si bado alikuwa hai au?
Chukua hii fact, Mbilikimo alikuwa anakusanya mapato kidogo kuliko Mkwere baada ya kuvuruga uchumi.
TRA katika historia yake haijawahi kukusanya 2 trillion au karibia na hicho kiasi.
Kuwa na akili, na uache upoyoyo wako.Mama Samia ni mkosi kwa Nchi
Haya mambo yalikuwepo ata awamu zilizopita. Usiaminishe kwamba kipindi cha Mwendazake watu hawakukwepa kodi.Serikali ya awamu ya 5 ilifanya vizuri kukusanya kodi iko kiwango walifikia.
Wiki iliyopita nimenunua Mchine 1,200,000 wamenisafirishia mpaka Mkoani cha ajabu nikifungua bahasha yenye risiti nakuta ile risit ina kiasi cha elf 40,000.
Ukwepaji wa kodi unategemea Serikali ya awamu ya sita itakusanya kodi shilling ngapi kwa ukwepaji huu. Utofauti hapo ni 1,160,000
Kutangaza sio issue..TRA mwezi Decemba 2020 walitangaza mapato ya trilioni 2.
Amerithi mkosi akiouacha mwendazakeMama Samia ni mkosi kwa Nchi
Serekali ya CCM awamu ya 5 pia ilikuwa ikijinasibu kuwa eti uchumi wetu ni mzuri sana wa viwango vya lami.Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya mkopo huo na kuainisha maeneo kama elimu, afya, utalii na mfuko wa TASAF.
Serikali ya Tanzania imekuja na mpango uitwao TCRP yaani Tanzania Covid-19 Social Economic and Response Plan ambapo uwingi wa wanafunzi madarasani na ujenzi wa majengo mapya ya madarasa yatapewa kipaumbele, kuboresha huduma za afya, kuongeza huduma za chanjo au vituo vya kutolea chanjo hizo na kuhakikisha dawa za chanjo zinakuwepo kwa wingi pamoja na vifaa vyote vya kusaidia kutibu wagonjwa wa UVIKO-19.
Kwa mujibu wa Bloomberg IMF wamefurahishwa sana na mkakati huo wa Tanzania kurudisha afya ya uchumi wake wa kati iloupata mwezi Julai mwaka 2020.
Tanzania iliingia uchumi wa kati baada ya uchumi wake kukua kwa asilimia 5.8 ambapo makadirio yalikuwa ni asilimia 6.6
Ikiwa ni moja ya nchi ziloathirika kiuchumi Tanzania iliathirika kwenye sekta za utalii na uwezekaji wa moja kwa moja au FDI kutokana na baadhi ya sera zake kubadilika khasa katika sekta ya madini.
Serikali imekuja na mipango thabiti ya kujikoa kutoka kwenye janga hilo la UVIKO-19 kwa kuweka tozo mbalimbali je, tozo hizo hazitoshi kwa matumizi ya angalau maeneo mawili kwa kuanzia?
Lakini kitendo hicho cha kuomba fedha huku na kule ilhali kwa miaka mitano ilopita tuliweza kukusanya kodi ya kwango hichohicho cha mkopo yaani dola milioni 600 ni uthibitisho kuwa watanzania tuna matatizo makubwa.
Je, twashindwa kusema tunatumia kila baada ya miezi kadha kununua dawa za chanjo kutoka kiwandani kwenyewe.
Je, vipi kama leo serikali ikisema italipa shilingi milioni 500 kununua dawa za chanjo kwa wanohitaji na kutuma ndege kuchukua dawa hizo iwe ni Ujerumani au wapi twashindwa kweli?
je, twashindwa kupanga bajeti ya kulipia wanafunzi kwenye mpango wa elimu bure, ujenzi wa madarasa na miundombinu yote muhimu?
Leo eti watu waketi chini kuandika barua ya kuomba mkopo IMF mkopo ambao ni sawa na makusanyo ya kodi kwa mwezi na zaidi!
Hivi tuko vipi?
Ama kweli, nchi hii ni ngumu.
Akapigiwa makofi na kuitwa genius...Ingawa marehemu hasemwi vibaya, Mzee wetu alikuwa na fix nyingi. Alijua hadi idadi ya vifaranga vya samaki ziwani!
Sidhan kama watakuelewa ulichokiandikaSerekali ya CCM awamu ya 5 pia ilikuwa ikijinasibu kuwa eti uchumi wetu ni mzuri sana wa viwango vya lami.
Serekali ya awamu ya 6 (hii nadhani ni ya Chadema hii) imekuja inatuambia eti hali ya uchumi ni mbaya sana.
Bora tuirudishe tena CCM madarakani 2025 tuiondoe hii ya sasa ya Chadema!!
Ilikuwa propaganda, waulize watu wa TRA. Mbilikimo alikuwa anakusanya nusu ya hayo mapato
Mbilikimo alipika takwimu nyingi to compensate for his inferiority complex baada ya kuharibu uchumi imara ulioachwa na Mkwere.
sasa nn cha kushangaza apo?Ingawa marehemu hasemwi vibaya, Mzee wetu alikuwa na fix nyingi. Alijua hadi idadi ya vifaranga vya samaki ziwani!
Serekali ya CCM awamu ya 5 pia ilikuwa ikijinasibu kuwa eti uchumi wetu ni mzuri sana wa viwango vya lami.
Serekali ya awamu ya 6 (hii nadhani ni ya Chadema hii) imekuja inatuambia eti hali ya uchumi ni mbaya sana.
Bora tuirudishe tena CCM madarakani 2025 tuiondoe hii ya sasa ya Chadema!!
Amerithi mkosi akiouacha mwendazake
Vitu vingine ni vzr mkatafuta wataam wa kodi au wahusika tra juu ya hilo pishi la 1.3 kwa mweziKatika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya mkopo huo na kuainisha maeneo kama elimu, afya, utalii na mfuko wa TASAF.
Serikali ya Tanzania imekuja na mpango uitwao TCRP yaani Tanzania Covid-19 Social Economic and Response Plan ambapo uwingi wa wanafunzi madarasani na ujenzi wa majengo mapya ya madarasa yatapewa kipaumbele, kuboresha huduma za afya, kuongeza huduma za chanjo au vituo vya kutolea chanjo hizo na kuhakikisha dawa za chanjo zinakuwepo kwa wingi pamoja na vifaa vyote vya kusaidia kutibu wagonjwa wa UVIKO-19.
Kwa mujibu wa Bloomberg IMF wamefurahishwa sana na mkakati huo wa Tanzania kurudisha afya ya uchumi wake wa kati iloupata mwezi Julai mwaka 2020.
Tanzania iliingia uchumi wa kati baada ya uchumi wake kukua kwa asilimia 5.8 ambapo makadirio yalikuwa ni asilimia 6.6
Ikiwa ni moja ya nchi ziloathirika kiuchumi Tanzania iliathirika kwenye sekta za utalii na uwezekaji wa moja kwa moja au FDI kutokana na baadhi ya sera zake kubadilika khasa katika sekta ya madini.
Serikali imekuja na mipango thabiti ya kujikoa kutoka kwenye janga hilo la UVIKO-19 kwa kuweka tozo mbalimbali je, tozo hizo hazitoshi kwa matumizi ya angalau maeneo mawili kwa kuanzia?
Lakini kitendo hicho cha kuomba fedha huku na kule ilhali kwa miaka mitano ilopita tuliweza kukusanya kodi ya kwango hichohicho cha mkopo yaani dola milioni 600 ni uthibitisho kuwa watanzania tuna matatizo makubwa.
Je, twashindwa kusema tunatumia kila baada ya miezi kadha kununua dawa za chanjo kutoka kiwandani kwenyewe.
Je, vipi kama leo serikali ikisema italipa shilingi milioni 500 kununua dawa za chanjo kwa wanohitaji na kutuma ndege kuchukua dawa hizo iwe ni Ujerumani au wapi twashindwa kweli?
je, twashindwa kupanga bajeti ya kulipia wanafunzi kwenye mpango wa elimu bure, ujenzi wa madarasa na miundombinu yote muhimu?
Leo eti watu waketi chini kuandika barua ya kuomba mkopo IMF mkopo ambao ni sawa na makusanyo ya kodi kwa mwezi na zaidi!
Hivi tuko vipi?
Ama kweli, nchi hii ni ngumu.
Wakati huo mwendakuzimu si bado alikuwa hai au?
Chukua hii fact, Mbilikimo alikuwa anakusanya mapato kidogo kuliko Mkwere baada ya kuvuruga uchumi.
TRA katika historia yake haijawahi kukusanya 2 trillion au karibia na hicho kiasi.
*WENYE AKILI TUNAFAHAMU TULIENDESHWA KIPROPAGANDA ZAIDI NA SIO KIUHALISIA,
MF;*alikuwa anazindua mradi fulani huku mnaona bango kabisa limeandikwa mfadhili,yeye hapo hapo anatamka tunajenga wenyewe what was this?