Serikali ya awamu ya tano iliharibiwa na chuma ulete?

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,974
6,776
Mungu mwema sana kwangu, pia mwema kwa WanaJF wote, na niwasalim katika yeye mwenye uwezo juu ya kila kitu alicho kiumba

Niende kwenye mada, ambayo ni fupi mno maana yaitaji majibu ili mnisadie.

Mwendazake na serikali yake ilikua inasema kwamba inakusanya mapato Mara dufu ya serikali zote zilizo mtangulia, nyimbo ,mabambio, kusifu hata watu wake kumuona YESU vilitawala pamoja na kupendekeza kwamba atake asitake aongezewe muda.

Sasa wakuu naomba kuuliza serikali iliyo kusanya mapato Sana, na ikawa serikali tajiri, pesa zake zilichukuliwa kwa njia ya chuma ulete? Why nauliza hivi wakuu.

Serikali ilikusanya Sana na ikawa tajiri,lakini ikakopa Sana tofauti na serikali zilizomtangulia , na tukiangalia mapesa yote yaliingizwa wapi hatuoni au sioni.

Au sio chuma ulete mzee alijitengenezea sefu mahalum ya kuifadhi manoti ,na yapo ila Serikali ya Sasa haijagundua? Na Kama sivyo mapesa yalikua yanaenda wapi? Je, yalienda.

KWA watu wake na wapambe waliomuona ni mungu mtu na waliokua wanashinikiza aongezewe mda ,maana deni la Taifa lipo tirion 70 na point naomba majibu mwenye nayo,akili yangu imefika mwisho kufikili juu ya Jambo hili chini ya uongozi wa shujaa wa Afrika.
 
Back
Top Bottom