Serikali ya awamu ya Nne angalau ilikula na kunawa, awamu hii inakula waziwazi bila kunawa

Nakumbuka ukaguzi wa halmashauri moja mahesabu yalionyesha ndizi moja ilinunuliwa kati ya elfu 5 na elfu 7, lkn utaratibu wote ulifuatwa na signature zote zilikuwepo, huo ndio wizi wa akili bila kutumia nguvu wala ubabe.
Hii post imekaa zaidi kama kilio cha wezi wa zamani.
 
Awamu ya nne ya mzee Kikwete tulishuhudia ufisadi mkubwa ukifanyika, tuliona jinsi walivyojigawia pesa za EPA, jinsi walivyochota pesa za Tegeta Escrow, ufisadi wa Meremeta na TANGOLD nk. Lakini angalau ufisadi huo ulikuwa ukijadiliwa bungeni na wawakilishi wa wananchi na serikali kutoa ufafanuzi na mwisho serikali kujivua lawama.

Serikali ya awamu hii ni tofauti, hiyo nafasi ya kujisafisha kupitia bunge haipo tena, serikali imejaa kiburi, haioni sababu ya kuwa please wananchi wake hata kwa kuwadanganya kupitia bunge. inafanya ufisadi nje nje kwa sababu inajua wananchi imewaziba midomo hata kama wakijua hawana cha kuifanya, wanaojitokeza kuhoji wanaishia kutandikwa risasi, kutekwa, kupotezwa na wengine kuishia jela.

Serikali inakiuka sheria ya manunuzi wazi wazi, inabadili matumizi ya bajeti bila woga wowote, imenunua ndege bila idhini ya bunge imekataa kukaguliwa, imejenga uwanja wa ndege wa Chato bila idhini ya bunge imekataa kukaguliwa, imetumia zaidi ya 1.5t nje ya bajeti haitaki kujadiliwa na mengine mengi, sasa imeamua kutoshirikiana kabisa na CAG ili kuendelea kuficha ufisadi inaokusudia kuutenda.

Huu ndio unaitwa kula bila kunawa, awamu ya nne ilikuwa na ufisadi wake lkn ilikuwa na uwezo wa kuji 'defend' bungeni na hata mahakamani. Ila wajue rekodi za CAG huwa hazifutiki kwa kutojadiliwa na bunge zitafufuliwa hata baada ya awamu hii kupita, tuliona ufisadi wa Kiwira na ANBEN uliofanyika wakati wa serikali ya awamu ya Tatu lkn ukaja kujadiliwa awamu ya Nne.
Hivi vyoote unavyooredhesha vimejengwa na kunuliwa kwa ajili ya warundi au watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukiangalia ukweli halisi,ni kipindi cha Dau na huyu Assad pale nssf ndio Zitto alikuwa top kimapato hadi kufikia kuwa mbunge pekee aliyekuwa anatumia HUMMER !,gari la bei mbaya kabisa kwa viwango vya mapato na mshahara wa mbunge.

Lakini kwa ajili ya kuwa mweyekiti wa ile kamati inayohusika na NSSF ,ndio ilikuwa kipindi cha mavuno na ndio kipindi pia Zitto alipokwapua zile 360mlns.kwenye ule mradi fake wa LEKADUTIGITE !!.

Na ikumbukwe kuwa Assad ni mmoja wa wasimamizi wa ndoa mojawapo ya ZITTO iliyofungwa kiislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu mmepewa mamlaka na wananchi, mna DPP, AG, TAKUKURU kuna mahakama.

Kinachowafanya msiwapeleke mahakamani ni nini ??
 
Deleted
 
Attachments

  • 1547632313687.png
    1547632313687.png
    27.9 KB · Views: 15
1547632659023.png
Soma post zangu tangu 2011 unijue vizuri kwa wezi wa mali ya umma huwa sibadiliki.
Hiyo post yako imemaliza kila kitu. Kusoma post zako za nyuma ni kutoutendea haki muda.
Kwa lugha rahisi imekuvua nguo, imekuacha na tai na kofia tu.
 
Awamu ya nne ya mzee Kikwete tulishuhudia ufisadi mkubwa ukifanyika, tuliona jinsi walivyojigawia pesa za EPA, jinsi walivyochota pesa za Tegeta Escrow, ufisadi wa Meremeta na TANGOLD nk. Lakini angalau ufisadi huo ulikuwa ukijadiliwa bungeni na wawakilishi wa wananchi na serikali kutoa ufafanuzi na mwisho serikali kujivua lawama.

Serikali ya awamu hii ni tofauti, hiyo nafasi ya kujisafisha kupitia bunge haipo tena, serikali imejaa kiburi, haioni sababu ya kuwa please wananchi wake hata kwa kuwadanganya kupitia bunge. inafanya ufisadi nje nje kwa sababu inajua wananchi imewaziba midomo hata kama wakijua hawana cha kuifanya, wanaojitokeza kuhoji wanaishia kutandikwa risasi, kutekwa, kupotezwa na wengine kuishia jela.

Serikali inakiuka sheria ya manunuzi wazi wazi, inabadili matumizi ya bajeti bila woga wowote, imenunua ndege bila idhini ya bunge imekataa kukaguliwa, imejenga uwanja wa ndege wa Chato bila idhini ya bunge imekataa kukaguliwa, imetumia zaidi ya 1.5t nje ya bajeti haitaki kujadiliwa na mengine mengi, sasa imeamua kutoshirikiana kabisa na CAG ili kuendelea kuficha ufisadi inaokusudia kuutenda.

Huu ndio unaitwa kula bila kunawa, awamu ya nne ilikuwa na ufisadi wake lkn ilikuwa na uwezo wa kuji 'defend' bungeni na hata mahakamani. Ila wajue rekodi za CAG huwa hazifutiki kwa kutojadiliwa na bunge zitafufuliwa hata baada ya awamu hii kupita, tuliona ufisadi wa Kiwira na ANBEN uliofanyika wakati wa serikali ya awamu ya Tatu lkn ukaja kujadiliwa awamu ya Nne.

Wafanye vyovyote wanavyotaka ila ipo siku wataondoka madarakani,na ukaguzi wa kipindi chao kama special audit nyingi tu zitafanyika,na wanapaswa wawe tayari kwa kitakachojiri kwa kipindi hicho kutokana na taarifa za kaguzi hizo
 
Awamu ya nne ya mzee Kikwete tulishuhudia ufisadi mkubwa ukifanyika, tuliona jinsi walivyojigawia pesa za EPA, jinsi walivyochota pesa za Tegeta Escrow, ufisadi wa Meremeta na TANGOLD nk. Lakini angalau ufisadi huo ulikuwa ukijadiliwa bungeni na wawakilishi wa wananchi na serikali kutoa ufafanuzi na mwisho serikali kujivua lawama.

Serikali ya awamu hii ni tofauti, hiyo nafasi ya kujisafisha kupitia bunge haipo tena, serikali imejaa kiburi, haioni sababu ya kuwa please wananchi wake hata kwa kuwadanganya kupitia bunge. inafanya ufisadi nje nje kwa sababu inajua wananchi imewaziba midomo hata kama wakijua hawana cha kuifanya, wanaojitokeza kuhoji wanaishia kutandikwa risasi, kutekwa, kupotezwa na wengine kuishia jela.

Serikali inakiuka sheria ya manunuzi wazi wazi, inabadili matumizi ya bajeti bila woga wowote, imenunua ndege bila idhini ya bunge imekataa kukaguliwa, imejenga uwanja wa ndege wa Chato bila idhini ya bunge imekataa kukaguliwa, imetumia zaidi ya 1.5t nje ya bajeti haitaki kujadiliwa na mengine mengi, sasa imeamua kutoshirikiana kabisa na CAG ili kuendelea kuficha ufisadi inaokusudia kuutenda.

Huu ndio unaitwa kula bila kunawa, awamu ya nne ilikuwa na ufisadi wake lkn ilikuwa na uwezo wa kuji 'defend' bungeni na hata mahakamani. Ila wajue rekodi za CAG huwa hazifutiki kwa kutojadiliwa na bunge zitafufuliwa hata baada ya awamu hii kupita, tuliona ufisadi wa Kiwira na ANBEN uliofanyika wakati wa serikali ya awamu ya Tatu lkn ukaja kujadiliwa awamu ya Nne.
Ukali unaouona ni mbinu ya kutaka kupiga bila bugdha yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukiangalia ukweli halisi,ni kipindi cha Dau na huyu Assad pale nssf ndio Zitto alikuwa top kimapato hadi kufikia kuwa mbunge pekee aliyekuwa anatumia HUMMER !,gari la bei mbaya kabisa kwa viwango vya mapato na mshahara wa mbunge.

Lakini kwa ajili ya kuwa mweyekiti wa ile kamati inayohusika na NSSF ,ndio ilikuwa kipindi cha mavuno na ndio kipindi pia Zitto alipokwapua zile 360mlns.kwenye ule mradi fake wa LEKADUTIGITE !!.

Na ikumbukwe kuwa Assad ni mmoja wa wasimamizi wa ndoa mojawapo ya ZITTO iliyofungwa kiislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo maana yake nini, ile 1.5 T ambayo Assad.amesema tumepigwa kaongopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ludicrous
Wamenunua, ndege, wamenenga uwanja wa ndege chato, wamefanya mambo nje ya budget! Well and good,

Kikwete EPA zimeliwa, Tegeta Escrow zimeliwa, Tangold zimeliwa, kodi zimeliwa, huoni tofauti? Unalinganisha Mwizi na .......?
Kikwete alikuwa mwizi

Huyu ana ubabe lakini tunaona mambo,
Mambo gani, barabara ya km 5 kutoka Mwenge mpaka Morocco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom