Serikali ya awamu ya 5, Ukichelewa, unaachwa


Nelson Masaduki

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
234
Likes
177
Points
60
Nelson Masaduki

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
234 177 60
Mara nyingi ndege ukichelewa kidogo, unaachwa.

Naifananisha serikali ya awamu ya tano kama ndege. Wanasiasa wetu(Wabunge, Mameya, Madiwani, Wenyeviti wa vijiji na wengineo) wakichelewa tu, wanaachwa.Naona kabisa kuwa, kama wote hawa wataungana na kwenda pamoja, kila mmoja katika jimbo lake kutakuwa na maendeleo ya fasta fasta.

Ona Mkuu wa Mkoa wa DSM anavyopambana, kwa kiwango kikubwa anachapa kazi ya maana pamoja na mapungufu yake. Maendeleo yanaonekana. KAMA wabunge wote wataamua kuchapa kazi usiku na mchana na kuyapigania maeneo yao(majimbo) hakika nchi hii, kwa utalawa huu wa JPM itapaa sana.

Nawasihi wabunge, wachape kazi maisha yapae. "Tumechelewa sana"
 

Forum statistics

Threads 1,215,053
Members 463,005
Posts 28,533,783