Serikali ya awamu ya 5 ilijenga uchumi imara ndio sababu Dkt. Mpango amepanda na kuwa Makamu wa Rais wa JMT

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,512
141,240
Tunakumbushana tu kwamba serikali ya awamu ya 5 ndio iliufikisha uchumi wa nchi kwenye Kiwango cha kidogo cha Kati

Na pia Rais wa JMT awamu ya 6 ilimpendeza kumteua Waziri wa fedha wa awamu ya 5 kuwa Makamu wake

Mungu wa mbinguni awabariki
 
Na zile hela zilizokuwa zinaibiwa hazina Mpango alifanya nini? Je pesa zilizochotwa hazina bila bajeti ujenzi wa Chato airport mpango aliidhinishaje hizo pesa? Nchi ina ujinga mwingi hii
 
Jiwe alijenga uchumi imara? Mleta mada upo serious kweli?

Hujui kwamba madhila tunayoyapitia hivi Sasa ni matokeo ya ujinga wa jiwe?

Jiwe aliua biashara zote kubwa na hivyo kuvunja mizizi ya upatikanaji wa kodi. Na taifa lolote dunianj hutegwmea kodi.

Baad ya kuona hana mahala pa kupata kodi jiwe akaanza kupora fedha za wafanyabiashara (extortion).

Mhuni huyu laiti asingekufa nchi hii ingefika mahala ikasimama kabisa na kufa.
 
Mjinga tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mjinga tu na punguwani ndo anayeweza Hoji ujenzi wa uwanja wa Ndege pale Chato !!.

Hivi Chato ipo Zambia eeh??..
 
Kama maisha ya uchumi wa kati ndio haya basi bora turudi uchumi wa chini tu
 
Jiwe alijenga uchumi imara? Mleta mada upo serious kweli?

Hujui kwamba madhila tunayoyapitia hivi Sasa ni matokeo ya ujinga wa jiwe?

Jiwe aliua biashara zote kubwa na hivyo kuvunja mizizi ya upatikanaji wa kodi. Na taifa lolote dunianj hutegwmea kodi.

Baad ya kuona hana mahala pa kupata kodi jiwe akaanza kupora fedha za wafanyabiashara (extortion).

Mhuni huyu laiti asingekufa nchi hii ingefika mahala ikasimama kabisa na kufa.

JPM hakuua biashara,. Bali wafanyara wajanja janja, walozoea kupata faida Kwa migongo ya wanyonge , ndio waliamua kufunga biashara na kukimbia Nchi

Kwa JPM, ilikua ni ulipe Kodi yake basi , na matumizi ya Kodi yakaonekana, Elimu ikawa Bure kama kwenye Nchi zilizoendelea, Madaraka na Mabarabara yakajengwa, Mwamba akafanya makubwa mpaka Mzee mwingi akakiri "JPM kafanya makubwaaa kuliko sisi watangulizi wake ".

Mwenye akili akikaa, na kufikiria, hivi JPM angedumu Kwa miaka 10 tu, Si tungekua kama Ulaya ?? .

Sina doubt ,huyu mtu Yuko Mbinguni muda Huu !!!.
 
Wewe hujui kureason mambo makubwa.Wewe unaleta uteam katika mambo ya maana.hili jukwaa halikufai
Yaaan wee pimbi kweli, Kwa hiyo kureason mambo makubwa ni pale Uwanja Ndege usingejengwa Chato badala yake ukapelekwa huko uliko wewe ??.

JPM he was true definition of being Genius, akitenda jambo basi ujue nyuma yake alikua na sababu zakutosha za maana kufanya Ivo.

Ndio sababu wakati anajenga Uwanja, akahakikisha anatengeneza mazingira ya utalii, mazingira ya kibenki, huduma za Jamii n.k .
 
Jiwe alijenga uchumi imara? Mleta mada upo serious kweli?

Hujui kwamba madhila tunayoyapitia hivi Sasa ni matokeo ya ujinga wa jiwe?

Jiwe aliua biashara zote kubwa na hivyo kuvunja mizizi ya upatikanaji wa kodi. Na taifa lolote dunianj hutegwmea kodi.

Baad ya kuona hana mahala pa kupata kodi jiwe akaanza kupora fedha za wafanyabiashara (extortion).

Mhuni huyu laiti asingekufa nchi hii ingefika mahala ikasimama kabisa na kufa.
Hakuna madhila yoyote tunayopitia, nchi ipo salama. Makusanyo ya Kodi yameongezeka hadi trillion 2 kwa mwezi. Uwekezaji umeongezeka
Halmashauri zimevunja rekodi ya makusanyo
 
JPM hakuua biashara,. Bali wafanyara wajanja janja, walozoea kupata faida Kwa migongo ya wanyonge , ndio waliamua kufunga biashara na kukimbia Nchi

Kwa JPM, ilikua ni ulipe Kodi yake basi , na matumizi ya Kodi yakaonekana, Elimu ikawa Bure kama kwenye Nchi zilizoendelea, Madaraka na Mabarabara yakajengwa, Mwamba akafanya makubwa mpaka Mzee mwingi akakiri "JPM kafanya makubwaaa kuliko sisi watangulizi wake ".

Mwenye akili akikaa, na kufikiria, hivi JPM angedumu Kwa miaka 10 tu, Si tungekua kama Ulaya ?? .

Sina doubt ,huyu mtu Yuko Mbinguni muda Huu !!!.
Naunga mkono hoja, watu waliomchukia ni wale wafia vyama
 
Tunakumbushana tu kwamba serikali ya awamu ya 5 ndio iliufikisha uchumi wa nchi kwenye Kiwango cha kidogo cha Kati

Na pia Rais wa JMT awamu ya 6 ilimpendeza kumteua Waziri wa fedha wa awamu ya 5 kuwa Makamu wake

Mungu wa mbinguni awabariki
UCHAWA umeshika kazi
 
Jiwe alijenga uchumi imara? Mleta mada upo serious kweli?

Hujui kwamba madhila tunayoyapitia hivi Sasa ni matokeo ya ujinga wa jiwe?

Jiwe aliua biashara zote kubwa na hivyo kuvunja mizizi ya upatikanaji wa kodi. Na taifa lolote dunianj hutegwmea kodi.

Baad ya kuona hana mahala pa kupata kodi jiwe akaanza kupora fedha za wafanyabiashara (extortion).

Mhuni huyu laiti asingekufa nchi hii ingefika mahala ikasimama kabisa na kufa.
Pointless
 
Em mjuze huyo hajui kitu,
 
Pointless
Ni ngumu Sana kwa wapumbavu kuelewa hoja zangu.

Soma na mada ya mwerevu huyu hapa:

JPM hakuua biashara,. Bali wafanyara wajanja janja, walozoea kupata faida Kwa migongo ya wanyonge , ndio waliamua kufunga biashara na kukimbia Nchi

Kwa JPM, ilikua ni ulipe Kodi yake basi , na matumizi ya Kodi yakaonekana, Elimu ikawa Bure kama kwenye Nchi zilizoendelea, Madaraka na Mabarabara yakajengwa, Mwamba akafanya makubwa mpaka Mzee mwingi akakiri "JPM kafanya makubwaaa kuliko sisi watangulizi wake ".

Mwenye akili akikaa, na kufikiria, hivi JPM angedumu Kwa miaka 10 tu, Si tungekua kama Ulaya ?? .

Sina doubt ,huyu mtu Yuko Mbinguni muda Huu !!!.
Unafikiri ilikua sahihi aje akute hudaiwi na unalipa kodi vizuri tu lkn akugeuke aseme ulikua unalipa kidogo, arudi miaka mi5 nyuma anakupigia hesabu upya cha kulipa unakuta hata uuze kampuni na mali zake zote huwezi lipa hilo deni, kaa kimya kuna vitu huvijui wewe,

Una biashara unalipa kodi nyingi za serikali na mwenye nyumba alafu anakuwekea vibanda na meza hapo nje mshindane biashara, mwenye meza akiuza bidhaa bila risiti sawa tu hata kama bidhaa zinafanana lkn mwenye duka akiuza bidhaa hata ya elfu 1 bila risiti faini milion 3 hadi 5 alafu ukimuona haji ofisini kulipa deni unamuita mkwepa kodi,
Alikua moja ya kiongozi wa hovyo sana kuwahi kuongoza nchi hii.
 
Jiwe alijenga uchumi imara? Mleta mada upo serious kweli?

Hujui kwamba madhila tunayoyapitia hivi Sasa ni matokeo ya ujinga wa jiwe?

Jiwe aliua biashara zote kubwa na hivyo kuvunja mizizi ya upatikanaji wa kodi. Na taifa lolote dunianj hutegwmea kodi.

Baad ya kuona hana mahala pa kupata kodi jiwe akaanza kupora fedha za wafanyabiashara (extortion).

Mhuni huyu laiti asingekufa nchi hii ingefika mahala ikasimama kabisa na kufa.
Yule aliua kila kitu
 
Back
Top Bottom