Serikali (Waziri Bashungwa) tafadhali toeni tamko lenu la kimamlaka kuhusu ''Uhuni'' unaendelea kufanywa na klabu ya Yanga

Unajua kanuni za kumalizwa mchezo? Refa aliyemaliza mchezo alikuwepo? Aliwakagua? Alisubiri dk 15 za kikanuni akawapa ushindi?

Bangi bana
Simba ilifanya uhuni na Tff kwa nini hamkuleta team uwanjani saa 11 kama wenzenu walivyofanya , na kanuni zinajulikana kwa nini muingizwe king na wanasiasa ilihali sheria za mpira mnazijua.
 
Ok nyie mnaojua kanuni mbona mnapigwa fine kila siku? Hilo swali waulize serikali. Tff iko chini ya wizara (serikali) na walitoa agizo unadhani TFF wangewadindia? Unadhani ni suala la mpira tu pale taifa? Kuna usalama na mengineyo. TFF wana vyombo vyao kulinda usalama. Unadhani serikali n tff hawana muingiliano, unadhani hawategeneani. Hebu shirikisheni ubongo wenu kwenye hili. Halafu hizi lawama kwa TFF ni ujinga mtupu. Hivi unadhani TFF wangeweza kuwataja hadharani wizara kama maamuzi hayakutoka wizarani? Issue ni kuhoji serikali kama kuna mamlaka hayo?
 
Kwani lazima mcheze na Yango ndo mridhike, si iteni timu nyingine mcheze nayo, waachen Yanga na mambo yao

TFF yenu ndo inavuruga soka la TZ, angalia mizengwe tu ya uchaguzi ndo utaelewa TFF ndo wavurugaji wa kila ktu. sasa mnatafuta kuhamisha lawama kwa Yanga.

Toeni kwanza maamuzi zile kesi 7 za Yanga mlizokumbatia ndo mechi itachezwa, vinginevyo tafuteni wa kucheza naye
Kwani lazima mcheze na Yango ndo mridhike, si iteni timu nyingine mcheze nayo, waachen Yanga na mambo yao

masuala ya simba na yanga huwa yanajadiliwa bila kutumia akili mara nyingi, mfano ni hii hoja juu
 
Ok nyie mnaojua kanuni mbona mnapigwa fine kila siku? Hilo swali waulize serikali. Tff iko chini ya wizara (serikali) na walitoa agizo unadhani TFF wangewadindia? Unadhani ni suala la mpira tu pale taifa? Kuna usalama na mengineyo. TFF wana vyombo vyao kulinda usalama. Unadhani serikali n tff hawana muingiliano, unadhani hawategeneani. Hebu shirikisheni ubongo wenu kwenye hili. Halafu hizi lawama kwa TFF ni ujinga mtupu. Hivi unadhani TFF wangeweza kuwataja hadharani wizara kama maamuzi hayakutoka wizarani? Issue ni kuhoji serikali kama kuna mamlaka hayo?
Msiwatishie Yanga, kuwa TFF iko chini ya Serikali, hii sio kweli.
How comes iwe na Rais?
Rais wa TFF unajua mamlaka yake?
 
TFF Kikatiba ( ya nchi ) iko chini ya BMT na BMT iko chini ya Wizara ya Michezo na Wizara ya Michezo ni sehemu ya Serikali sasa utasemaje kuwa TFF haiwajibiki kwa Serikali?

Kocha Wenu ' Mbeleshi ' Luc Eymael hakukosea ( na Video ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wengi hamna Akili mpaka akawafananisha na Nyani, Mbwa na Sokwe.

Sijui mtabadilika lini muwe Think Tanks.
 
Sasa hata wakipewa points watakuwa mabingwa? Yanga jitafakarini,timu yenu imeyumba na si ya kishindani tena ipo ipo tu.Na hii ni janja ya kuogopa kucheza na simba ambayo ikiamua kisema ngoja leo tupiiiige hawa ni mtachezea kichapo balaa
pgpa0 cha ajabu kwenye ligi msimu uliopita yanga wameshinda mechi moja na kudroo moja dhidi ya simba.. hapo jiulize kati ya yanga na simba ipi ni timu bora
 
Ok nyie mnaojua kanuni mbona mnapigwa fine kila siku? Hilo swali waulize serikali. Tff iko chini ya wizara (serikali) na walitoa agizo unadhani TFF wangewadindia? Unadhani ni suala la mpira tu pale taifa? Kuna usalama na mengineyo. TFF wana vyombo vyao kulinda usalama. Unadhani serikali n tff hawana muingiliano, unadhani hawategeneani. Hebu shirikisheni ubongo wenu kwenye hili. Halafu hizi lawama kwa TFF ni ujinga mtupu. Hivi unadhani TFF wangeweza kuwataja hadharani wizara kama maamuzi hayakutoka wizarani? Issue ni kuhoji serikali kama kuna mamlaka hayo?
Kwa kuwa tunafuata kanuni ndio mana huwa tunalipa!
 
Back
Top Bottom