Serikali: Wanaosambaza picha za Rais Samia akiwa kwenye vivutio mbalimbali waache mara moja

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan zinazosambazwa mitandaoni zikimwonesha akiwa kwenye vivutio mbalimbali vya utalii, sio rasmi na hazina kibali cha serikali. Wizara imewaonya wote wanaohusika na kuwataka waache mara moja.

Zinasambazwa na nani kutoka kwenye chanzo? Nini maana ya vivutio vya utalii sasa!
 
Serikali haikupaswa kuja na tangazo la namna hii bali ilipaswa kuwashukuru wananchi kwa kuonesha mapungufu ya hizo picha kisha kuomba radhi wananchi
Kwa dunia hii ya leo utawezaje kutoa tangazo kama hilo? Wakati tayari hizo picha zimeshafika sehemu kubwa ya dunia?
Sasa kwa marufuku hii ndio kwanza wanetoa hamasa watu waanze kuzitafuta na kuzijadili

Haya mapungufu serikali haikuyaona mpaka wananchi walipoongea

Life jacket ya kumfaa mama ama xx large au xxx large. Watendaji wamekosea sana kumvisha jaketi size medium. Watendaji wa wajibishwe.

Yale magwanda ya TANAPA mnh..ngoja picha ziongee

Na je ni kweli hizi picha sio rasmi? Zimefikaje huku?
JamiiForums-1109950792.jpg
JamiiForums-1721357223.jpg
JamiiForums-693990005.jpg
 
Mbaya na mbaya zaidi.. Wametoa picha ambazo ni photo shopping.. Tena kwa kutumia program ya kijinga mno... Badala ya ku brand utalii tunageuka kuwa laughing stock
Picha ni mbaya na hazina uhalisia.. Mama ni mrefu kuliko tembo.. Mambo ya kupeana dili haya ..
JamiiForums-1721357223.jpg
 
Ila kuna wadau wanajua kujikomba sana..eti Branding Tanzania,picha ya Rais haitumiki ovyo ovyo hata kama ni kwaajili ya lengo zuri..
 
Serikali haikupaswa kuja na tangazo la namna hii bali ilipaswa kuwashukuru wananchi kwa kuonesha mapungufu ya hizo picha kisha kuomba radhi wananchi
Kwa dunia hii ya leo utawezaje kutoa tangazo kama hilo? Wakati tayari hizo picha zimeshafika sehemu kubwa ya dunia?
Sasa kwa marufuku hii ndio kwanza wanetoa hamasa watu waanze kuzitafuta na kuzijadili

Haya mapungufu serikali haikuyaona mpaka wananchi walipoongea

Life jacket ya kumfaa mama ama xx large au xxx large. Watendaji wamekosea sana kumvisha jaketi size medium. Watendaji wa wajibishwe.

Yale magwanda ya TANAPA mnh..ngoja picha ziongee

Na je ni kweli hizi picha sio rasmi? Zimefikaje huku?View attachment 1929966View attachment 1929967View attachment 1929968
Hangaya ni mkubwa kuliko Tembo hakika dunia ina maajabu sana
 
Back
Top Bottom