Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,791
Zinasambazwa na nani kutoka kwenye chanzo? Nini maana ya vivutio vya utalii sasa!Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan zinazosambazwa mitandaoni zikimwonesha akiwa kwenye vivutio mbalimbali vya utalii, sio rasmi na hazina kibali cha serikali. Wizara imewaonya wote wanaohusika na kuwataka waache mara moja.