Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,092
Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar.

Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Machi 28, 2020.

Ninakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS



1585568290985.png
 
Aisee watu walisema humu kwamba it's better kuchukua tahadhari za makusudi.

Viongozi wa vyama vya siasa walisema lakn it seems like our leaders, hawachukulii hili swala in a serious manner. Mfano mbowe na kabwe hata jana kasema mambo mengi sana.

Now today Waziri mwenyewe kasema jumla ya wagonjwa ni 19

Tuchukue tahadhari ya kweli wajameni ohooooo!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1......"Alikutana na raia wa kigeni kutoka miongoni mwa nchi zilizoathirika zaidi"...Alikutana naye wapi? hapa nchini au huko kwenye hiyo nchi isiyotajwa?

Kama ni hapa nchini huyo raia wa kigeni naye yupo katika hao wagonjwa 19? Au aliisha ondoka nchini baada ya maambukizi? Mungu atusaidie kwa huu ugonjwa!!
 
1......"Alikutana na raia wa kigeni kutoka miongoni mwa nchi zilizoathirika zaidi"...Alikutana naye wapi? hapa nchini au huko kwenye hiyo nchi isiyotajwa? Kama ni hapa nchini huyo raia wa kigeni naye yupo katika hao wagonjwa 19? Au aliisha ondoka nchini baada ya maambukizi? Mungu atusaidie kwa huu ugonjwa!!

Maelezo ya waziri hayajitoshelezi hata kidogo. Mbona mwisho wa siku wataongea yote tu
 
Back
Top Bottom