Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,786
Habari wakuu, Taarifa kutoka serikalini, Wizara ya Utumishi wa Umma imesisitiza kuwa waajiri waendelee kupokea nakala za vyeti vya Elimu za watumishi wa umma. Pia waendelee kupokea namba za mitihani (Index No).
Sasa nauliza, hii haiwahusu wateule wa Rais?
Kama raia mwema siwezi kupeleka namba S0546/0016 mwaka 2000 ikahakikiwe?
Sasa nauliza, hii haiwahusu wateule wa Rais?
Kama raia mwema siwezi kupeleka namba S0546/0016 mwaka 2000 ikahakikiwe?