Serikali: Ukiiba mitihani darasa la Saba ni uhujumu uchumi

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,904
FB_IMG_16310782496798690.jpg
 
Lakini posho, mishahara mikubwa ya wanasiasa na tozo zinazoyumbisha maisha ya mlalahoi siyo uhujumu uchumi
 
Maisha ya TZ yanafikirisha sanaaa, waeza soma ukamaaliza ngazi ya taaluma uloamua kufikiaa, endapo utapenda kuajiriwa, kizungumkuti kinakuja mitihani ya usaili.

Sasa wale waliovujisha mtihani wa usaili wa TRA wamepatikanaaa?
 
Ila royal tours na yenyewe ikiangaliwa vizuri inaweza kuwa ni uhujumu uchumi pia🤣🤸🐒
 
Huwa nashindwa kuelewa Mwalimu mkuu anahangaika kuiba mitihani, ili aonekane amefaulisha sana, ni aibu na kutengeneza kizazi ovu mapema sana........sasa anayeibiwa mtihani drs la 7,anaweza kuwa balozi mzuri wa vita dhidi ya rushwa kweli?
 
WANAOTOA TAARIFA HII NI WALE WALE WANAIBA KURA KIPINDI CHA UCHAGUZI..

WAASEME PIA KUIBA KURA NI KITENDO CHA KIGAIDI.
 
Back
Top Bottom