Serikali: Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uko palepale, gazeti lilipotosha

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,975
13,146
Hii ni kwa mujibu wa Prof. Mbalawa, kasema gaazeti la the citizen ni limeandika uwongo.

Chanzo: TBC habari

========

UPDATE:

Dar es Salaam. The government has said the processes for the construction of the Bagamoyo Port will not be halted and will continue.

Reacting to reports about the suspension of the construction of the $10 billion (Sh22 trillion) port the, ministry of Works, Transport and Communications said in a statement issued yesterday that the construction of the port will start in July of this year upon conclusion of financing negotiations with key partners.

According to the statement, the government was currently in discussions with China Merchant Holding International (CMHI) and Oman which are expected to be concluded by March, this year.

It said the governments of Tanzania, Oman and China signed a Memorandum of Understanding for the implementation of the Bagamoyo Port project, October 16, and last year.

“The Government of the United Republic of Tanzania in December, 2015 compensated a total of 2,183 Bagamoyo residents Sh45.65 billion [to pave way for the project]. A joint working team, comprising technical people from the United Republic of Tanzania, China and Oman is preparing technical and commercial contracts for the implementation of the Port of Bagamoyo,” the statement further added.

The Bagamoyo project will occupy 800 hectares and another 1,700 hectares of Portside Industrial Zone, which will be developed. The new port, to be the largest in African, will be able to handle 20 times more cargo than the Dar Port.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kwa mujibu wa Prof M balawa.
Kasema gaazeti la the citizen ni limeandika uwongo.

Chanzo TBC habari
Kweli ujenzi upo pale pale lakini hii ni baada ya kumalizika kwa maboresho ya nguvu za Bandari za Mtwata,Tanga na Dar.
 
BANDARI HIYO KWA SASA HAINA MANUFAA YOYOTE / ZIIMARISHWE BANDARI ZA DAR NA MTWARA KWA KUWEKEWA ZANA ZA KISASA / MODERN FACILITES ZITAKAZOWEZA KU SPEEDUP MIZIGO 10×
 
Ulikuwa mradi wa mtu kuendeleza kwao. Mikataba imeingiwa Inabidi JPM afuate matakwa ya Mikataba. La msingi ni kuona vipi nchi itanufaika zaidi.
Meanwhile bandari za Dar, Tanga na Mtwara ziboreshwe kuweza kuhudumia nchi zinazotunguka.

Ya Tanga kwa ajili ya Uganda. Ya Mtwara kwa ajili ya Malawi nk
 
The Citizen sasa linaonekana ni gazeti la udaku, mambo mazito wanayoandika yanakanushwa. Poor Citizen!!
 
The Citizen sasa linaonekana ni gazeti la udaku, mambo mazito wanayoandika yanakanushwa. Poor Citizen!!

Usisahau hata EPA, RICHMOND, ESCROW na safari za nje za hovyo walikanusha kwa nguvu zao zote.
 
Bgamoyo ni Tanzania sioni sababu ya kuondoa mradi mkubwa kisa unatekelezwa nyumbani kwa Vasco.
 
aunt hakutakuwa na ujenzi,syo kipaumbele cha magufuli,imekula kwenu

Sishangai kuakhirishwa kwa huo mradi wa bandari ya Bagamoyo, bali nashangaa Mh Magufuli aliponunua meli tena ya kizamani eti kusafirisha abiria kati ya Bagamoyo na Dar
 
I have known this magazine for quite some time now to be a relentless mouth piece of Kenyan propaganda. Hawa Citizen na waume zao the East African ni magazeti ya kikenya na siku zote yanabeba habari za kuwatisha wawekezaji wa nje kuhusu Tanzania.Ogopa sana wakenya!
 
Magazeti mengine ya kijinga sana sijui wanafanya hivyo kwa maslahi ya nani ndiyo maana fenela alikuwa anawapiga pini.
 
Ulikuwa mradi wa mtu kuendeleza kwao. Mikataba imeingiwa Inabidi JPM afuate matakwa ya Mikataba. La msingi ni kuona vipi nchi itanufaika zaidi.
Meanwhile bandari za Dar, Tanga na Mtwara ziboreshwe kuweza kuhudumia nchi zinazotunguka.

Ya Tanga kwa ajili ya Uganda. Ya Mtwara kwa ajili ya Malawi nk

Poor Thinking mnadhani Bagamoyo sio Tanzania kisa wanatoka wakwere??... dar imezidiwa vipi kusijengwe Bagamoyo karibu na Dar??
 
Back
Top Bottom