serikali tz inauwa waislam znz - pastor munishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

serikali tz inauwa waislam znz - pastor munishi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by under_age, Nov 4, 2009.

 1. u

  under_age JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  samahani kama haka kavideo kashawahi kujadiliwa. nilipekua pekua nikakaona. naona mchungaji yupo veri nyutrali. mie simooo . kazi kwenu ! msje mkasema nimesema mie. kama haka kavideo kashawahi kujadiliwa mods kiweke kwenye bin .


  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=E5UJHGkVu00[/ame]

  enjoi
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hii clipu ingefaa waonyeshwe WAZEE WANAOSHUGHULIKIA MUAFAKA, lakini jamaa ameongea vivuri, inaonyesha yeye ni mpizani wa JK Nyerere na CCM! na anahasira kweli kweli na CCM sijui walimfanya nini jamani.
   
 3. S

  Shamu JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Is funny!! very good pastor.
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mnafiki tu. hana jipya
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Je ana mamlaka gani kuongea hivi?

  Kuna ukweli au ni hisia tu??????????????
   
 6. M

  Msindima JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe kwa 100%,hana jipya.
   
Loading...