Serikali tusaidieni kujenga daraja Kinondo

kkitabu

Senior Member
Dec 27, 2011
144
49
Mh. Hapi, Jumapili ulikuwa Sumaye nadhani ulipita sehemu moja ambapo mvua ikinyesha sisi wakazi wa Kinondo tunaenda likizo bila kupenda.

Nashauri ufanye mpango ili tuweze kurejeshewa mawasiliano. Naomba kuwasilisha Mh Hapi. Ni mkazi wa Kinondo
 
Back
Top Bottom