Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,157
Pumbavu
unajua ndio maana viongozi wengine wanamshamgaa uyu mwenzetu hii kasi yake maana wanajiuliza sisi tulishindwa sababu ya vimeo ambavyo serikali iliviona uyu jamaa anatoa wapi pesa kumbe jamaa alipi madeni yeye ananunua tu
Matokeo yake ndio hata hata hizo sijui fly over nk tuanze futilia usikute mzee baba kashauza inchi anaeajengea kwenye inchi yao sisi tunampigia makofi tu kumbe tayali hana chake kachukua pesa za watu uko
Na hii ndio sababu itafamya uyu mzees anganganie madarakani sababu wakija wengine wataona madudu ya ajabu so watanzania tusifanye masihara kwenye mambo haya uyu mzee 2020 atuachie inchi yetu anapotupeleka siyo
Badae watoto wetu watashindwa kusoma hata shule ya msingi bure maana pesa za kulipa mishahara watumishi atakuwa hana hospital zitakosa madawa sababu atakuwa anadaiwa kila kona
Miradi anayoitekeleza kwa akili ya haraka haraka tu uyu mzee atakuwa anakopa mapesa ya watu uko badae yatuletee shida sababu mtaani vyuma vimekaza hiyo kodi anaitoa wapi kutekeleza mairadi mikubwa hivyo
Hili sula la ATCL lifungue vichwa vyetu mzee anatupeleka siyo
Watumishi wa umma jiandaeni kisaikolojia si mmeanza zigimbania kadi za chama na kuunda mashirikisho haya kinachofuta hapo nikuanza kukopwa mishahara yenu si mmekuwa makada mtasemea wapi
Twafwaaaaaaa