Blessingmore
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 371
- 379
Kwani bangi ndo kuvutaa....kwanza bangi zipo mlima meruu kShule ime zungukwa na mashamba ya bangi !teacher ana fanya
Promotion ya kijiti
Kwani bangi ndo kuvutaa....kwanza bangi zipo mlima meruu kShule ime zungukwa na mashamba ya bangi !teacher ana fanya
Promotion ya kijiti
Kusimiri siyo shule ya Kata...Ni specual school...Sisi ndo wana-Arusha tunasemaKisimiri ni shule ya kata, kama hujui kitu kausha usilazimishe kukoment ulizia watu wa Arusha wanaijua
Mkuu mim nazani kw advance Azania hawajawah kuwa na matokeo mazuri ingawa huwa hawafeli sana. Kwa sasa hiv azania kwa upande wa advance ni kama vile chaka la wahuni. Wanaopata division 3 zile za mwisho tena waliotoka shule za kata za hapo hapo dar ndo wanachaguliwa Azania. Wakifika hapo wanakutana na watoto wazuri wa jangwan, kisutu wanasahau kabisa kilichowapeleka hapo shuleni.Mkuu jaji mfawidhi umeongea ukweli mtupu kuhusu Azania na shule za town center jijini Dar.
Hata hivyo,mbona sisi tulisoma shule hizo,ujana tumeufanya na masomo tulifaulu?
Mimi nilisoma Tambaza ya akina Puza na mziki wake kuna watu wanaujua humu.
Haya mapenzi ya "Azajangwa" hayajaanza leo.
Mimi nadhani hakuna uwajibikaji wa kielimu darasani kwa hao watoto.
Kama walimu wataingia kufundisha darasani frequently,mwanafunzi akapewa majaribio kila weekend au every after two weeks,wasiofanya majaribio hayo wakafuatiliwa ikiwa ni pamoja na kuita wazazi wao,wanaofeli pia wakafuatiliwa,mtu akaambiwa chini ya wastani huu kwa idadi ya majaribio kadhaa ukifeli basi tafuta shule nyingine ya kwenda au rudia darasa,wakiwa groomed hivyo,huna haja ya kukimbizana nao gheto wala wapi,watatulia wenyewe na kusoma.
Hivyo usimamizi wa hiyo shule kitaaluma kwa sasa ni mbovu.Ndio sababu kuu.
Wakibanwa darasani,hayo mengine yatapotea yenyewe bila kutumia nguvu na hata kama watabaki baadhi wanayafanya,hawatayafanya kwa kiwango cha kuwaathiri kielimu hivyo,maana muda hawatokuwa nao.
Watoto wa siku hizi wa Azania muda wote wako tuition,mtu unajiuliza,darasani hawakai?kwanini?huu uhuru wanatoa wapi?
Nampa Makonda ushauri,ahakikishe anaweka mfumo wa kufuatilia attendance ya walimu na wanafunzi darasani kwenye hizo shule za jijini,kuwe na mfumo wa kufuatilia majaribio kama hiyo shule ya Mwl Kisongo,nawahakikishieni hamtasumbuka na hawa watoto wa mjini,watatulia tulii.
Na mengineyo yataibuka,mtasikia walimu wanaanza kulalamikia uhaba wa test tube maabara,hapo mtajua sasa watoto wanafundishwa.
anatafuta kiki n ngumu kufananisha shule za kata na special kama mzumbe ata seminary wana chukua wanafunzi wenye vipaji div one na twoMbona mwalimu mkuu anasema hawajawahi kupokea division one ! Wao wanapokea three na chache two
Special school huku wanapewa wa divishen 3 mkuu daaah haya bana labda nkuitie Mkoroshokigoli anajuaKusimiri siyo shule ya Kata...Ni specual school...Sisi ndo wana-Arusha tunasema
Azania wamefeli,na vivulana vidogo dogo ambavyo havijakauka shombo ya maziwa.
Sababu kuu ya AZANIA kufeli.
1:-Wanafunzi kujihisi wao ni "watoto wa mjini" ilhali kichwani kumejaa pepcorn.
2:--kuzungukwa na vibinti vibichi vya Jangwani Sec na Zanaki,Shaaban Robert na Tambaza,uzoefu unaonyesha mvulana mmoja wa Azania ana Wasichana/Mzizi mwenziye kila shule tajwa.
3:-Kuendekeza starehe na kila mmoja kujiita diamond platinumz,kutaka kuwa msanii badala ya kusoma,wanataka maisha mteremko.
4-Lishe duni hasa Chips za mafuta ya transformer na maji ya kandoro ,hela yao inayobaki i apokwenda nitakwambia.
5:-Smart Phone/Simu..,Hawa wote wanazo simu za ku slaidi,Wanaweka bundle ,wana download picha za ngono na kutumia a na wazinzi wenzao wa Zanaki etc,wanachat sana watsupp kwenye magroup yasiyo na maana.
6:--Team Kiba/Diamond:-Hawa watoto wa Azania ndio walioanzisha team Diamond/Kiba,mda wote wanashinda insta kufuatilia yakiyojiri na kubishana nani yupo juu kati ya wasanii hao wawili mtu mzima jua unapochangia mjadala wa Diamond na Kiba una urge na watoto wa Azania .
7:-Kushinda kwenye ma -gheto ,hasa maeneo ya Jangwani na Magomeni wakati wazazi wao wapo makazini,huko gheto ndipo wanapopiga 'mitungo' madada zetu wa Jangwani,Zanaki na Shaaban Robert.
8-VILEVI-pombe za Pakiti,Tambuu,Kuberi,Miringi,na Gomba ambazo zinashushwa na Tahmeed pale magomeni,Hawa watoto wanatumia hivyo vyote wakiamini hivyo vilevi vinaongeza nguvu ili wapige madem wengi zaidi of which sina uhakika.
9-BASH--Hawa watoto kila weekend wao ni Bash,hili neno najua ukimwita yule mtoto wa Kisimiri ama Tabora Boys atafikiri ni neno la Chemisty topic ambayo hakusoma lakini kwa Azania ni talk of the day!Wao ni kula bata na tour zisizoisha!
10:--Vitendo vya ngono kwenye hii shule kipindi cha mahafali ni wazi kabisa,mtoto anakunjiwa nyuma ya mlango,chooni,etc.
11:--Waalimu wengi hapa Azania ni ******,am sorry to say so but namsaidia JPM.
Hawa ni wake za wakubwa ambapo waume zao wanapopata nafasi za kuteuliwa ama kuchaguliwa waje Dar basi hakuna namna mume anataka kuja na mkewe,na inatafutwa shule iliyopo jirani,wanajazana hapo Na kupiga soga tu,
Bwana Yesu asifiwe sana!
Jumapili njema,
My take:-
RC Makonda,nakusihi,wajibisha afisa elimu wa kanda ,Mwalimu mkuu,DeD vunja bodi ya Shule.
Amesheni waalimu waliopo hapo.
Mkuu jaji mfawidhi umeongea ukweli mtupu kuhusu Azania na shule za town center jijini Dar.
Hata hivyo,mbona sisi tulisoma shule hizo,ujana tumeufanya na masomo tulifaulu?
Mimi nilisoma Tambaza ya akina Puza na mziki wake kuna watu wanaujua humu.
Haya mapenzi ya "Azajangwa" hayajaanza leo.
Mimi nadhani hakuna uwajibikaji wa kielimu darasani kwa hao watoto.
Kama walimu wataingia kufundisha darasani frequently,mwanafunzi akapewa majaribio kila weekend au every after two weeks,wasiofanya majaribio hayo wakafuatiliwa ikiwa ni pamoja na kuita wazazi wao,wanaofeli pia wakafuatiliwa,mtu akaambiwa chini ya wastani huu kwa idadi ya majaribio kadhaa ukifeli basi tafuta shule nyingine ya kwenda au rudia darasa,wakiwa groomed hivyo,huna haja ya kukimbizana nao gheto wala wapi,watatulia wenyewe na kusoma.
Hivyo usimamizi wa hiyo shule kitaaluma kwa sasa ni mbovu.Ndio sababu kuu.
Wakibanwa darasani,hayo mengine yatapotea yenyewe bila kutumia nguvu na hata kama watabaki baadhi wanayafanya,hawatayafanya kwa kiwango cha kuwaathiri kielimu hivyo,maana muda hawatokuwa nao.
Watoto wa siku hizi wa Azania muda wote wako tuition,mtu unajiuliza,darasani hawakai?kwanini?huu uhuru wanatoa wapi?
Nampa Makonda ushauri,ahakikishe anaweka mfumo wa kufuatilia attendance ya walimu na wanafunzi darasani kwenye hizo shule za jijini,kuwe na mfumo wa kufuatilia majaribio kama hiyo shule ya Mwl Kisongo,nawahakikishieni hamtasumbuka na hawa watoto wa mjini,watatulia tulii.
Na mengineyo yataibuka,mtasikia walimu wanaanza kulalamikia uhaba wa test tube maabara,hapo mtajua sasa watoto wanafundishwa.
Hilo nalo neno mkuu.Mkuu mim nazani kw advance Azania hawajawah kuwa na matokeo mazuri ingawa huwa hawafeli sana. Kwa sasa hiv azania kwa upande wa advance ni kama vile chaka la wahuni. Wanaopata division 3 zile za mwisho tena waliotoka shule za kata za hapo hapo dar ndo wanachaguliwa Azania. Wakifika hapo wanakutana na watoto wazuri wa jangwan, kisutu wanasahau kabisa kilichowapeleka hapo shuleni.
Ushaur ni kwamba tuboreshe kwanza shule zetu za kata zilizopo dar hii ina maana hata azania watapata wanafunzi wazuri walioiva na wanaoelewa nn maana ya elimu.
Pia nakubaliana na wew kwa ushauri wako uliotoa.
Ha ha haa!wazee wa kunyoosha msuli,watunyooshee wale mabrazameni wetu pale sio?!pale panatakiwa wapelekwe watu wa BAKORA mwanzo mwisho, watanyooka tu.
Ha ha haa!wazee wa kunyoosha msuli,watunyooshee wale mabrazameni wetu pale sio?!
Ni kweli mkuu pia tatzo la vitoto vya siku hiz usharobaro mwingi unamkuta kijana anasoma Azania tena PCM ameeka head phone kubwa kama vile DJ anaenda shule. Mkononi ana smart phone utegemee kweli huyu atasomaHilo nalo neno mkuu.
Shule za kata za Dar ni majanga,lakini ukichunguza tatizo ni hili hili la watoto kutokukaa na kufuatiliwa vizuri darasani.We shule ina waalimu watatu,utamfuatilia nani,umwache nani?hilI nalo tatizo.
Mfumo mzima una matatizo ila tukiwa serious tunayaweza haya.
Pia serikali ijaribu kuendana na mazingira yaliyopo kupambana na changamoto zake.
Zamani A level wastani wa umri tuliokuwa nao wanafunzi ni +19 na walimu wetu walikuwa wengi approaching or above 40.
Ukirudi huko chini shule za msingi ndio kabisaa,tulikuwa tunafundishwa na mabibi.
Leo hii je?Nenda pale Azania uone vivulana vilivyopo,vidogodogo,na walimu nao wadogowadogo,generation hii ikoje socially na tunaiset vipi kuucheza muziki tunaoutune sisi?haya ni mambo jamii nzima ikiongozwa na serikali tunapaswa tuwe na majibu yake.
Huo sasa niwivuUmenena sana ila hapa umekosea.ded mgeni.Afisa elimu na mkuu washule hawana kosa kama unakiri walimu ni wake Wa vigogo sasa watawakemeaje wakati wake za wakubwa.sema hivi kwa dar es salamu yote serekali itenge mikoa kama lindi.mtwara.ruvuma.kigoma.simiyu.songwe.nk watumishi wote hasa walimu na Manesi madoctor waamishwe kwa kupangiwa hiyo mikoa asiyetaka aache kazi ili wakajifunze wenzao wanafanyaje kazi katika mazingira magumu.
Wakukuonea wewe mwalimu au nurse Mimi sio mtumishi Wa ummaHuo sasa niwivu
Hii inahusiana nini nawanafunzi kufeli!? Kushirikisha ubongo nibora zaid12. Headmaster ni MDINI SANA, hataki WAISLAMU waende MSIKITINI SIKU YA IJUMAA japo ipo kisheria na waraka umeenea Tanzania nzima. anafanya makusudi kuwaweka parade hadi saa nane na nusu hivyo kushindwa kuhudhuria ibada kama kawaida ya shule nyingine.
Igeni mfano na shule zingine kwenye hii shuleKumbe kisimiri siyo special
nilijua iko pamoja na kina mzumbe kibaha tabora school nk
Iko wapi igowole? shule ya kata ishawahi kuongoza
Private sector hatuna mshamba kama wew labda mchimba chumvi wauvinzaWakukuonea wewe mwalimu au nurse Mimi sio mtumishi Wa umma