Kelele za mlango hazimshtui mwenye Nyumba.
Fact - Amini usiamini, huyu Idi Amin Dada II (Jakaya Mrisho Kikwete), hivi sasa hapati usingizi !Kelele za mlango hazimshtui mwenye Nyumba.
Unapokosea ni unapoiita serikali dhalimu, tukufu!
Yaani kwa kweli ni hatari tupu jinsi wandugu wa TZ wanavyoishambulia serikali pande zote kiasi kwamba zile kelele za mlango sasa zinaleta usumbufu kiasi cha kumkosesha JK usingizi murua tofauti na ilivyokuwa enzi anaingia ikulu baada ya uchaguzi wa mwaka 2005. Du, hali inatisha mazee kila kona: maredioni, magazetini, makanisani, misikitini, klabuni, vijijini, mijini, maofisini, mashambani, madukani, kwenye bar, uwanjani, mpirani, mahospitalini, jeshini, UWT, katika Facebook na hapa JF, kwenye NGO's, vijiweni hadi kwenye magesti, you just name it.....mh! What next..?
Kikwete, what a hopeless leader!! He's the root of all these problems. I can not bare this a## h### anymore
Naondoa neno 'tukufu' naweka neno 'baradhuli' badala yake, naomba isomeke hivyo tafadhali, na kama mnakubali wote semeni 'ndiyoooo.....'
Kama unajaribu kuwalinganisha wala hata hawafananji kabisa. Huyo mwinyi alichofanya ni,pamoja na uliyosema kushusha uchumi wa nchi kiasi kwamba hata wewe ulipokuwa mdogo uliweza kumiliki pesa nyingi tu!Huu ni ujinga.Akaweka paa tusinyeshewe then akatuhamishia chooni! Tumpigie makofi bosi?Do you realy sugest? Lakini huyu wa sasa ni bomu hakuna spea! Hata concept ya uongozi hakuna,ni mwizi tu wa mali za watanzania,Mtesaji wa raia wa nchi hii kwa kuwabebesha mizigo kama ya TANESCO na mingine unayoijua wewe. Bado unaona wanaonewa?Unashangaa nini? Mbona kawaida tu. Unakumbuka enzi za mzee Mwinyi ambaye aliwatoa Watanzania katika lindi la umasikini wa njaa na udhalilishaji wa kuvaa magunia, kupanga foleni mchana kutwa kwa kilo ya unga wa muhogo aliishia kutukanwa matusi ya nguoni? Yanayompata JK yalishampa mzee rukhsa miaka 15 iliyopita.