tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Kila kona ya nchi watu wanalalamikia serikali kuwaandaa kesho kuangalia tv zao na kusikiliza radio zao kwa kigezo cha kufuatilia ripoti ya pili ya mchanga!! Ilipotoka ile barua jana nilijiuliza maswali mengi sana ila nikapotezea, maana waliweka njia mbali mbali za kuhakikisha tunafatilia taarifa hiyo. Kuanzia tv , radio , tovuti ya ikulu. Mitandao ya kijamii!! Nikajiuliza leo hii serikali inahimiza watu wawe bize kiasi hiki huku ni siku ya kaz?? Nikajua limepita.
Usiku huu hapa mwanza wanapita na matangazo ya magari wananchi tufatilie hiyo taarifa bila kukosa , na ni muda wa kazi . Huko dar ndio sisemi , bashite katoa na amri umeme usikatike, ukikatika tu mtaa mmoja anakula kichwa cha mtu!! Sasa Kama kuna umuhimu kias hicho si waseme tu kwamba kesho ni mapumziko , au sikukuu ya kusheherekea ujinga wetu wa takriban miaka 20!! Yaan kupokea mchanga imekua siku kubwa kuliko siku ya uhuru wetu!! Yaan tume ya kuangalia makosa yetu imekua muhimu kuliko bunge linalotengeneza hayo makosa wanayo yaleta kesho!!? Tuliambiwa tufanye kazi tuache kuangalia bunge live. Yaan ripoti hiyo ni muhimu kuliko bunge la bajeti ya nchi nzima??
Kwa kweli awamu hii tumepatikana maana kama ni sifa inatafutwa kwa gharama yeyote ile!!Haya mheshimiwa rais mpenda sifa, heshima ziwe na ww milele na milele!! Wewe umeshushwa leo toka angani kwenye lile bunge la ndiyoooooo hukuwepo!! Nitakwangalia kwa makini unavyopindisha shingo kuonyesha kusikitika sana na kuumia sana huku unayajua miaka nenda rudi!! Utajifanya haya kwako ni mapya!! Kesho kazin siendi nitamwambia boss wangu rais kaniambia nimfatilie akipokea Tanzania mpya ya kufikirika!!