Serikali toeni hii taarifa kwa umma/local investors kuhusu Renewable energy project | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali toeni hii taarifa kwa umma/local investors kuhusu Renewable energy project

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGULI, Jan 27, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuwa World bank wametoa fedha kiasi kikubwa kwa ajili ya project tajwa, na tayari zimesambazwa kwenye mabenk yafuatayo, TIB, NBC na CRDB.

  Bila taarifa hizi fedha zitaangukia kwa wale wale na nchi itaendelea kuwa kwenye giza.


  HTML:
   
  The Government of TZ through the TZ Energy Development and Access Expansion Project (TEDAP) has received a loan from the World Bank (IDA Credit AF 4726) for refinancing loan term loans to deveolpers of rural energy projects in Mainland Tanzania
  The Fund is administered to interested and eligible commercial banks operating in Tanzania.
  
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Asante kwa taarifa Nguli

  Walengwa hasa ni akina nani,,pia na masharti yake yakoje ( Najua wewe sio msemaji wa serekali alikini unaweza kutufungua macho kidogo)

  Asante
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  kama kuna mwenye uwezo wakuwekeza kwenye biogas, solar,hydro etc changamkieni hii nafasi haraka
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu yeyote mwenye uwezo, kama wewe uko nje ya nchi au nchini na una kampuni ambayo unaweza kufanya kitu kama hichi nenda kwenye bank nilizo list watakupatia mkopo kwa mashart nafuu kabisa.

  Kwa sasa mwombaji aliyejitokeza ni mmoja tu Kilombero sugar
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  I will look/work on it. Very informative news.

  Nguli Jabali, big up
   
 6. O

  Ogah JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mods,

  Tafadhalini ipeleke hii mada kule kwenye Business........kwa Malila et al............itapata mawazo ya watu kujikomboa............
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Unakaribishwa mkuu, hii ni opportunity nzuri sana kwa Watanzania kujikwamua kiuchumi.

  Asante kwa ushauri hope watalifanyia kazi
   
Loading...