Serikali/tanesco wanatakiwa kuionyesha jamii kuwa mtatiro- cuf ni mwongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali/tanesco wanatakiwa kuionyesha jamii kuwa mtatiro- cuf ni mwongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwananyiha, Jul 4, 2011.

 1. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kufuatia tamko la CUF dhidi ya serikali kwamba hata kama bwawa litakuwa limefurika bado kutakuwa na mgawo wa umeme. Serikali/TANESCO inatakiwa waoneshe kuwa maneno hayo ni uongo kwa kutoendeleza mgawo, vinginevyo itathibitika bila mashaka yoyote kwamba serikali ni waongo na tusitegemee kuwaamini kwa lolote.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Walisema mvua itakaponyesha,ikanyesha wakasema bomba la gesi linafanyiwa matengenezo,wakamaliza!wakasema IPTL na dowans zikiwaka mgao utaisha.IPTL na dowans zimewasha pamoja na AGREKO lakini wapi,sasa wanasema mafuta hakuna na mahitaji ya umeme yamekua makubwa.nakuhakikishia hata kuwe na mafuriko mgao chini ya ccm utaendelea kuwepo kwani hawana mawazo ya kuzalisha 5000mw toka rufiji au rusumo falls!
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Rufiji na rusumo huko maji hayapungui?
   
 4. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Magamba na mgao wa Giza!
   
Loading...