Serikali: Taarifa kuwa tuna mpango wa kuwa tunazima Mtandao wa Intaneti ni za uwongo

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
42771df40c8dcbf30c6555a43dc8be5c.jpg
 
Afadhali mmetutoa wasiwasi maana wengine badala ya kwenda kucheza pool table tunashinda kwenye internet
 
Heri umetolea ufafanuzi mapema maana tungedanganyana sana juu ya hili suala
 
Internet mwenye uwezo wa kufanya hivyo ni mmoja tu Duniani....ambaye yupo MIT
 
Back
Top Bottom