Serikali Simiyu yalaumu wananchi 'kufyatua' watoto

montroll

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
319
126
Wananchi wa mkoa wa Simiyu walalamikiwa kwa kuzaa sana na hivyo kufanya uandikishaji watoto Shule kuwa mgumu kutekelezwa na Serikali.

Kama nakumbuka vizuri kuna wito ulitolewa na rais Magufuli wa kufyatua tu watoto na serikali itawasomesha.

Je wana Simiyu walaumiwe kwa kutekeleza wito huo?
 
Alikua anatania kama tutachukulia serious utani WA mh bac tutaishia kulaumiana... Hotuba zake zote ni utania hanaga hotuba zilizo serious
 
Kwanini walaumiwe wakati rais alitoa agizo??

Tena ilibidi wapewe tuzo ya heshima!!

Magufuli alisema fyatueni watoto wa kutosha mimi nitasomesha bure!!!
 
Wakiwafyatua enzi zile za JK sasa JPM kaingia juzi tu hapa hata kama tamko lake limetekelezwa basi sasa hivi ndo wanakaribia kujifungua kwa wale waliofuata maagizo yake.
 
Back
Top Bottom